Biashara 10 zinazolipa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu Oct. 2015

dr.malulu

Senior Member
Jun 26, 2013
133
60
Kwa wafanya biashara..Fanya biashara hizi kuelekea uchaguzi mkuu.

1. Stationary (business card za wabunge, madiwani, n.k)
2. Ku print t-shirt
3. Kituo cha redio hata chenye masafa mafupi .eg. E-FM wanapiga pesa sasa hivi
4. Music system. MC tena ukiwa na malori ya kubebea huo mziki wako ndo swafiiii kabisaaa
5. Mapambo ya majukwaa
6. Mchawi/mganga hasa ukiwa na dawa ya mtu kupata mvuto.
7. Kukopesha kwa dhamana ya nyumba au magari kwa pesa kidogo ili akishindwa kulipa iwe mwisho wake.
8. Vyombo vya usafiri kama mabasi, costa na DCM
9. Wale wenye vikundi vya mazoezi,goging hasa zenye watu wengi(wanachama),pigeni pesa mmalizie nyumba zenu
10.Mabaunsa ndo wakati wenu sasa hv, wanasiasa wanahitaji ulinzi mkubwa. pesa pesa sasa iv

Ongeza zingine kama zipo....
 
Hii nimeipenda. Jamani mimi nina Machines za kuprint t-shirt, magic touch papers na photocopy machines. Anayehitaji ani PM.
 
Ila kwa mwenye malori na mabasi ya kube watu atapiga pesa sana kama Lowasa atapitishwa na ccm.
 
Umewasahau wasanii kama kina Dangote, Mjomba Mpoto n.k . Watatumiwa sana hasa na wanasiasa wasio na mvuto jukwaani... Waambie waanze kabisa kutunga nyimbo za kampeni...
 
Kwa wafanya biashara..Fanya biashara hizi kuelekea uchaguzi mkuu.

1. Stationary(business card za wabunge,madiwani,n.k)
2. Ku print t-shirt
3. Kituo cha redio hata chenye masafa mafupi.eg.E-FM wanapiga pesa sasa hv
4. Music system.MC tena ukiwa na malori ya kubebea huo mziki wako ndo swafiiii kabisaaa
5. Mapambo ya majukwaa
6. Mchawi/mganga hasa ukiwa na dawa ya mtu kupata mvuto.
7. Kukopesha kwa dhamana ya nyumba au magari kwa pesa kidogo ili akishindwa kulipa iwe mwisho wake.
8. Vyombo vya usafiri kama mabasi,costa na DCM
9. Wale wenye vikundi vya mazoezi,goging hasa zenye watu wengi(wanachama),pigeni pesa mmalizie nyumba zenu
10.Mabaunsa ndo wakati wenu sasa hv,wanasiasa wanahitaji ulinzi mkubwa.pesa pesa sasa iv

Ongeza zingine kama zipo....


utalii hasa pale wazungu watakapokuja kuangalia sokwe akihutubia.... nyingine ni upambe
 
Hiyo # 6 kiboko ni kweli asilimia kbwa ya wanasiasa ni washirikina sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom