Bia zitashuka lini bei?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Tuliahidiwa bei zimeshushwa kodi hivyo hata bei itapungua, lakini mpaka leo utekelezaji unasuasua, sasa wadau naomba tupaze sauti ni lini serikali yetu tukufu itapunguza bei ya bia ili sisi wanywaji tuendelee kuchangia kodi kwa spidi kweri kweriii
 
😂😂😂Ila kweli tozo zote zilivyotangazwa utekelezaji ukaanza kwa kasi ya mwanga, ila linapokuja suala la kutoa tamko kuhusu kushusha bei ya Ugimbi/Masanga naona wahusika wanajivutavuta utafikiri sio wao waliokuja na pendekezo hilo. washushe watu wajifariji baada ya kulipa tozo na ugumu wa maisha, imeaandikwa mpe pombe maskini hasau shida zake, sasa hawa na shida zote za tozo na utafutaji lakini hawataki kushusha bei ya ugimbi!​
 
Back
Top Bottom