Bia ni kifungua kinywa bora tangu enzi za wahenga

Bia ni kifungua kinywa bora, siri moja ya kifungua kinywa hiki ni kunywa beer moja tu. Wengi wanaharibu hapa kutaka ya pili na ya tatu. Ukishaongeza ya pili umevunja mwiko.

Unaweza kushushia na matunda au na mayai mawili ya kuchemsha. Kama unafanya mazoezi unaweza kupata full English Breakfast na pint moja ya beer. Unaanza siku vizuri sana.

Wa Irish walianza kutumia breakfast hii miaka mingi sana. Walipohamia America walianza kuvunja mwiko na kuanza kunywa pint mbili au zaidi, ilipelekea kuanza kusinzia kazini. Wamarekani waliwaambia kahawa ndiyo kifungua kinywa bora.

Jaribu hii utaona ufanisi wako unavuoongezeka.

۞mwenyezi Mungu alishasema kwenye Qur'an

[ AL - BAQARA - 219 ]
Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri--
 
tatizo alcohol blow itanichoma asubuhi na mapema😂😂😂
 
Bia ni kifungua kinywa bora, siri moja ya kifungua kinywa hiki ni kunywa beer moja tu. Wengi wanaharibu hapa kutaka ya pili na ya tatu. Ukishaongeza ya pili umevunja mwiko.

Unaweza kushushia na matunda au na mayai mawili ya kuchemsha. Kama unafanya mazoezi unaweza kupata full English Breakfast na pint moja ya beer. Unaanza siku vizuri sana.

Wa Irish walianza kutumia breakfast hii miaka mingi sana. Walipohamia America walianza kuvunja mwiko na kuanza kunywa pint mbili au zaidi, ilipelekea kuanza kusinzia kazini. Wamarekani waliwaambia kahawa ndiyo kifungua kinywa bora.

Jaribu hii utaona ufanisi wako unavuoongezeka.

Sky leo umenifanya ninywe bia ingawa haikuwa kwenye ratiba! glass imenihamasisha sana! nimejikazaa mwisho nimeshindwa! liwalo na liwe, ngoja nikapate walau 3 tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom