Bia hupunguza nguvu za kiume (research facts) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bia hupunguza nguvu za kiume (research facts)

Discussion in 'JF Doctor' started by Tuko, Aug 9, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Sina lengo la kuwatisha wanywa bia, lakini naamini inabidi tuwe makini.

  Bia hutengenezwa kwa nafaka ambazo 'kwa kawaida' hushambuliwa sana na fungus na kupelekea kuwa na fungal toxins (mycotoxins). Inajulikana kuwa sumu hizi huharibiwa na process ya fermentation, wakati wa kutengeneza bia. Hata hivyo tafiti nyingi zimeonyesha uwepo wa viwango vikubwa vya mycotoxins kwenye bia hasa kutokana na bia hizi kutokuandaliwa vizuri. Ambapo katika utafiti mmoja, bia za Pilsner na Tusker zilionekana kuwa na kiwango kikubwa cha sumu hizi (http://www.scientificsocieties.org/jib/papers/2004/G-2004-0812-235.pdf).

  Pamoja na madhara tofauti ya mycotoxins ikiwemo kansa kuharibiwa mfumo wa fahamu, mycotoxin aina ya zearalenone ina athari za kioestrogenic, kwa kusababisha kuzalishwa kwa kiwango kikubwa cha hormone ya oestrogen mwilini. Hii ina madhara kwa jinsia zote, lakini kwa wanaume husababisha kujitokeza kwa tabia za kike (feminization), kama vile sauti kuwa nyororo na kuota matiti (sio lazima iwe kabisa kama mwanamke).

  Feminization huambatana na kupungua kwa nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa, ambapo mwanaume anakosa au inapungua hamu ya mapenzi kwa wanawake, u.ume kuwa mdogo, na kushindwa kuhimili u.ume kusimama kwa muda mrefu.

  Kwa bahati mbaya, sumu hii pia imeonekana kuwepo katika bia nyingi kutokana na maandalizi mabovu na ya haraka ya bia, mfano katika utafiti huu (Estimation of the fungal toxins, zearalenone and aflatoxin, contaminating opaque maize beer in Zambia - Lovelace - 2006 - Journal of the Science of Food and Agriculture - Wiley Online Library).

  Upo uwezekano mkubwa kuwa bia nyingi za Tanzania, hasa zile zinazonywewa sana zikawa na sumu hizi, kutokana na demand kuwa inayofanya viwanda wazalishe haraka haraka, bila kuzingatia viwango.

  Usishangae kuwa tatizo la nguvu za 'wababa' linaloendelea kukua kila uchao katika jamii ya watu (hasa wa mijini), linatokana na mabia wanayobwia. Pia siku hizi kuna tabia ya wanaume kunenepanenepa kihasara hasara, kuwa na ngozi nyororo sana, na kuota vijimatiti. Tuwe makini jamini...
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Naomba ukatafute na soda na majice yote yanapunguza nini?
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa kutujuza mkuu itabidi turudi kwenye asili zetu,mbege,kimpumu,ulanzi na banana.
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa. Bora mimi natumia high quality wine na sana sana once a month. Mtaweza kuacha kunywa na wengine hii kitu iko kwenye damu?????

  Hii wakiona wenye viwanda lazima watapinga though mimi nimeamini kwani ume cite reliable sources.

  Ndio maana magonjwa hayeshi. Nimesoma na kusikia kwenye vyombo vya habari vya nje kuwa simu za mkononi zina madhara similar na kuwa exposed na DDT. Zinaleta kansa ya uvimbe kichwani kutokana na ukweli kuwa mionzi inayotumika ni zaidi ya mionzi ya microwave. Na hiyo ni tafiti mbali mbali zillizokuwa funded na WHO sijuhi kama bongo wametoa hiyo taharifa. Huku nilipo newspaper nyingi zililipoti. Hence kwa wanaojali muwe mnatumia head phones au speakers kuepuka haya madhara. Na msiwazoeshe watoto wenu kutumia simu kwani wao fuvu lao ni laini zaidi. Si mnaona idadi ya tatizo la head tumor linavyoongezeka.
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hasa bia moja hivi yenye jina la mbuga za wanyama, loooooo ukinywa hata mwanamke hamu inaisha
   
 6. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mie valeur tuuuu
   
 7. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,045
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Duh! mimi nikinywa hiyo ndo mwendo mdundo
   
 8. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na domo linanuka utafikiria shimo la taka, ile bia nafikiri ina matatizo fulani hivi
   
 9. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,045
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  Wewe mfanyakazi wa TBL nini? Hiyo bia haina Hangover na ni BOMBA
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mie ninaipenda lakini imenishinda hapo tu kwenye domo na hio nyingine
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  kumbe hata lager zinanukisha mdomo! Mi nilikuwa najua kuhusu milk stouts
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Bia zinazonyweka sana hapa Tz kwa sasa ni Tusker lager, castle na serengeti. Upo uwezekano wa bia hizi kuwa zinazalishwa haraka, na chini ya kiwango...
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Acheni pombe jamani.
  Kunywa juice kwa afya.
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hata juice sio salama dada...
   
 15. K

  Karry JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh hii balaaa
   
 16. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeambiwa na mhasibu kuwa bia inayopunguza nguvu za kiume ni safari.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  bora wine kwa kweli
   
 18. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Harufu itakusumbua kama hujui position nyingine!!
   
 19. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tumegee na sisi tunaokunywa machozi ya simba
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  juice ile fresh sio ya viwandani ya kuchakachuliwa.
   
Loading...