TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,511
- 11,271
Akiwa na Uso wa furaha,, look, how pretty she is!
Hapa akiwa na huzuni,, Oh my
Akiwa makini kusikiliza,
Hapa akisisitiza jambo,, cute, huh?
Ngoja niishie hapo. Ila huyu Maza 'ako M-cute Bana. Hivi ameolewa eeh?
Kazi ya Mungu ipewe sifa hata kama ni ya siku nyingi!
Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.