Bi. Usu Mallya

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,502
11,248
usu.jpg
Akiwa na Uso wa furaha,, look, how pretty she is!

Usu Mallya akilia baada ya kushuhudia mzee Steven Mwaitenda akibubujikwa na machozi mbele yao.JPG
Hapa akiwa na huzuni,, Oh my :(

Decla.jpg
Akiwa makini kusikiliza,

IMG_0990.JPG

Mukurugenzi-wa-TGNP-Usu-Mallya-akizungmza-kwenye-mjada.jpg
Hapa akisisitiza jambo,, cute, huh?

Ngoja niishie hapo. Ila huyu Maza 'ako M-cute Bana. Hivi ameolewa eeh?
Kazi ya Mungu ipewe sifa hata kama ni ya siku nyingi!



Wenu katika Ujenzi wa Taifa,
TANMO.
 
Mmmh jamani mnamatamni hata huyu Mama wa watu?? Kweli ukubwa dawa
 
Kwa heshima aliyonayo huyu mama sifikirii kama ni 'adabu' kuleta mada ya namna hii (kujadili muonekano wake). Anyway labda ndio uhuru wa kutoa mawazo huu!
 
Hawa watetezi wa haki za kibinadamu mnawapenda kuwamaliza au?? PAle Musoma mmoja wa kiume no more juzi juzi tu!!
 
Wamewagekia hawa? mh! kazi ipo ilianza kwa waandishi...............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom