Bi mdogo auza mali zake kwa ajili ya kulipia madeni ya bi mkubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi mdogo auza mali zake kwa ajili ya kulipia madeni ya bi mkubwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by McEM, Aug 22, 2011.

 1. McEM

  McEM Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bi mdogo imemlazimu kuuza nyumba yake ili kumuokoa bwana ake asinye ndoo kwa sababu ya udhamini wa mikopo aliyo kopa mkewe (bi mkubwa),ambaye amekimbia mji. Bi mdogo ni mtendaji kata,kata ya madoto tarafa ya kimamba wilaya ya kilosa Morogoro.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  upendo wa mashaka.
  Hii inaitwa furumusha nitawale
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ujinga mtupu!!!...
   
 4. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Show love
   
Loading...