Ikiwa afya yake inamruhusu aendelee kuimba (hata kama sio kutumbuiza ikiwa sauti yake imeshafifia). Ndio maisha yake, starehe yake, ndio ajira yake, ndilo pekee analojuwa kufanya. Tukumbuke kuwa waimbaji hawana kiinua mgongo wala pensheni. Siku akilazimishwa kuimba atafariki tu. Na ikiwa kuimba kwake ndiko kunakompatia tonge yake, kwa nini asiendelee?.
Kuhusu umri, si kila mtu Tz aliwekewa kumbukumbu za maandishi na wazazi wake. Kumbukumbu zetu ndio hivyo hivyo tu: mara kazaliwa mwaka njaa kali, mwaka wa kimbunga, mwaka wa zima taa... hakuna hata tarehe sikwambii siku. Lakini kwa hesabu za chapchap atakuwa na miaka isiyopungua 96. Tuchukulie alianza kuimba mwaka 1929 akiwa na umri wa miaka 15, kwa hiyo atakuwa alizaliwa mwaka 1914. Sasa ikiwa alianza kuimba mwanzoni mwa miaka ya 20, anaweza kuwa na umri wa mika 100 na upuuzi. La muhimu, bado anadunda.
Namtamani halafu unamkumbusha enzi zake nione kama anakumbuka au mashauzi ya kwenye taarabu!
Mziki wa bi kidude utauweza?? ucje mfia kifuani. Anakwambia hakuwahi kuoa wala kuolewa. Jiulize kwa nini...
Please get your facts right, the old woman got married more than twice and uncounted lovers who exploited her. I heard form reliable person, during her early age, she used to cover her face while singing allikuwa self conscious with her looks.
you mean carbon 14?Hivi si kuna kile kifaa cha kupima umri mara nyingi wanapimaga wanamichezo kujua kama wamedanganya umri, kingetumika kujua umri wa huyu bibi, au Bi Kidude mzee sana hadi kifaa kitadunda na kushindwa soma vinasaba vyake ana miaka mingapi???
May be u r ryte, kuna hii interview hapa maelezo aliyowapa hakusema kama aliolewaga na akadai ana miaka 113...
Dina Marios: BIBI NA WAJUKUU
you mean carbon 14?
Mie aliniacha hoi kwenye intervyuu na redio aliposema kati vitu anavyojivunia alipoalikwa kutumbuiza kwa Malkia Elizabeth ni kuwa ALIRUHUSIWA KUJISAIDIA KWENYE CHOO CHA KIFALME......afu akauliza kwa kebehi wangapi humu mmewahi kukojoa ulaya achilia mbali kwenye Kasri la Eliza...
She is funny.