Bi kidude in uk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi kidude in uk

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SIMBA DUME, Oct 15, 2008.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. SIMBA DUME

  SIMBA DUME Member

  #1
  Oct 15, 2008
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bi Kidude alikwenda UK kufanya show ya muziki, wenyeji wake wakampangia hoteli ya fahari ya kitalii kuchungulia chini kupitia dirishani akaona watoto waki zungu wakiogelia kenye swimming pool akavaa swim suit yake nakuingia kwenye maji bila ya wale watoto kujua alipotoka kwenye maji watoto wakapiga kelele na kulia na kuita daddy there is a crocodile in the pool
   
  Last edited by a moderator: Oct 20, 2008
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  hujafa hujaumbika mweee..... na usidharau wakunga na uzazi ungalipo!
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Get a life! If you think that's funny, it's not. Bi Kidude is old, there's nothing wrong with that, it's natural. You are an old man in waiting as well so grow up!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Man you could be sued for this utterly nonsensical 'story' .. Do you have any idea of the trait called RESPECT or DIGNITY ?
   
 5. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Simba, tunaomba chanzo.

  Muombe Mola hata uishi 3/4 ya umri wake
   
 6. Titus

  Titus Member

  #6
  Oct 17, 2008
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  where on earth do people like Simba Dume come from? mfungieni huyu mtu, u just can't say this to that old woman man
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Huna adabu na maadili wewe Simba Dume. Nick name yako inafanana na ulivyo. How can you dare to write such mbofu ya Bi Kidude badala ya kumuenzi kwa umri alionao na nguvu za kuendele sanaa Tanzania?? Shame on you!!!! Tena kamtafute umwombe Bi Kidude msamaha. Nyie ndo wale mnaichafua JF kwa miposting isiyofaa. Hapa tunazungumzia issue critical kwa jamii. We are the mirrow to the society.

  Bi Kidude ni mojawapo ya wasanii wanaotakiwa kuenziwa wakiwa hai na wafu???

  Ushauri wa bure!!! Kama member anataka ku post please tafuta issue za maana. Iga mifano kwa wenzio hapa. Ni vema uwe unabaki kuwa mchangiaji kama wengine kama huna posting ya maana. Mfano mimi nimekuwa mchangiaji mzuri tu na wala sijawahi kutuma thread yoyote i.e kuwa originator na members are happy na thanks kibao??? Uwe na busara. Hujui yule ni kama bibi au nyanya yako?
   
 8. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ..Mods any comment??? You better remove this..
   
 9. S

  Stone Town Senior Member

  #9
  Oct 17, 2008
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aalamu alaykum.

  Kwa sisi waislamu tunapoona kitu au neno kama hilo lisilostahiki huwa tunasema "Astaghafiru llah" Yaani kumtaka msamaha Mwenyeenzi Mungu kwa hakika huyu ndugu yetu amekosea sana na tunamnasihi aache mara moja tabia kama hii ya dharau dhidi ya kiumbe cha Mwenyeenzi Mungu inawezekana amezungumza kwa kukosea lakini kutokana na mila na desturi zetu watanzania ambao huwa tunasifikana kwa tabia na adabu nzuri katika jamii nyingi basi tunakuomba usirejeee tena ndugu.

  Kila binaadamu anapozaliwa kama hajafa basi huwa hajaumbika kama alivyosema mjumbe mmoja humu kama hujafa hujaumbika hivyo ni vyema tukajiweka sawa kwani hata kama ni mzuri kiasi gani Mwenyeenzi Mungu kukuondoshea uzuri wako ni kitu cha mara moja tu anaweza haraka sana mfano ukapata ajali ukakatika mguu, mkono au uso wako ukaharibika au unaweza ukamwagiwa acid ya uso ukalazimika kutolewa jicho moja na kutiwa la bandia pia unaweza ukapata cancer ya mwili na pengine ya uso pua ukaaa upande au kupata ugonjwa wa kiharusi mdogo wako ukakaa upande na mguu ukawa unachechemea, sasa kutokana na hayo nadhani tujifunze adabu nzuri na heshima za kuzungumza kama walivyosema wenzangu waliotangulia awali.

  Nakunasihi kuzungumza issue zenye manufaa na jamii yetu na sio kuandika mambo ambayo hayawezi kutusaidia katika duani hii wala huko twendako.
  thanks
   
 10. Titus

  Titus Member

  #10
  Oct 18, 2008
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  eti Simba Dume, Simba Dume gani wewe huna maadili ya Ki-Tz?
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  According to the law of torts,Tutakufunga wewe.
   
 12. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakika hii ni dhambi kubwa sana ya kumfananisha binadamu mwenzako na mnyama wa porini BASI UNA HERI WEWE MWENYE UZURI WA MALAIKA, LAKINI KUMBUKA MUNGU BADO ANAENDELEA NA UUMBAJI, USISHANGAE UKAUMBWA UPYA, ustarabu ni jambo pekee ambalo litatufanya tukuone ni muungwana. Bi Kidude ni mama wa heshima sana anayeheshimika duniani kote. Hajawahi kudharau mtu ametumia kipaji chake kuielimisha jamii ikiwa ni pamoja na kuifurahisha jamii. Maskini leo bila hatia anafananishwa na mamba. Simba Dume andika maneno haya "SAMAHANI WANA JF KWA KUMTUSI BI KIDUDE"
   
  Last edited: Oct 20, 2008
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...