Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,504
- 5,707
Mkuu wote wale ulokuwa nao,bado unataka niwe mjukuu wako tena....naweza nikawa babu yako mkuu
Mkuu wote wale ulokuwa nao,bado unataka niwe mjukuu wako tena....naweza nikawa babu yako mkuu
Kwa uandishi huu, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, wewe ni mwenyeji uliekuja na ID mpya.....
Sawa, ebu basi naomba uijibu pm yangu ili tuone jinsi gani unaweza nifanyia wepesi...Sawa. Thank you.
Mkuu una uzito kwani😂😂😂😂Sawa, ebu basi naomba uijibu pm yangu ili tuone jinsi gani unaweza nifanyia wepesi...
Nakuona kama sio mgeni machoni pangu!
Nimeona tu niwahi nafasi kabla haijajaa kwa huyu mgeni...teteehhMkuu una uzito kwani
Tuma maombi maana yupo kwenye uchaguzi asahivNimeona tu niwahi nafasi kabla haijajaa kwa huyu mgeni...teteehh
Kuche!!!Karibu Sana Bi khadija kwanza kabisa pole kwa Swaumu pili nasubiri umalize mfungo tukutane PM kwako tuyajenge
Tuma maombi maana yupo kwenye uchaguzi asahiv
Labda atembee na Viatu Vya SamakiKaribu Jf, ila angalia usitembee bila viatu humu kuna miiba
Wakubwa mnafaidi😂😂😂Tayari nipo nae chemba....hahaahaaa
Wakubwa mnafaidi
Sasa kama wakubwa mnafaidi kwa macho,nani anayefaidi kwa kula😂😂😂Tunafaudu kwa macho tu, kama kula ugali wa kulumangia kwa picha ya samaki......