Bi Khadija
Member
- Aug 20, 2018
- 79
- 237
Naitwa bi khadija. Nimejiunga muda kidogo JF lakini nikajikuta napendelea kwanza kufahamu wahusika wa humu na mambo ya humu.
Nmefanikiwa kuwafahamu watu kadhaa hasa nikivutiwa na uandishi mzuri wa GuDume na stories zake za kufunza na kufurahisha kwa uandishi mahiri kabisa.huwa ananifariji sana huyu bwana.i like him
Kuna pia kijana mmoja anaitwa Zero IQ nadhani atakuwa mtoto au mdogo wa gudume naye nmekuwa nikimsoma kupata visa mbalimbali.hasa habari za mapenzi.sijui atakuwa na umri gani.
Mmoja pia ya watu wanaonivutia kwenye uandishi wao wa kifasihi ni pascal mayala.nmekuwa naye nikipenda jinsi akiwachenga watu kwenye threads zake.utu uzima dawa
Mtaalamu asiye na choyo ya elimu CHIEF MKWAWA. Huyu nadhani kwenye IT ni mmoja ya watu muhimu sana humu ndani nmemsoma kila mara akitoa mawazo yake jengevu
Kuna wengine naopenda wasoma kama Bujibuji , Chizi Maarifa na kijana tajiri Kiduku Lilo. Bila kuwasahau wenzangu akina Ma Mshuza Baby Doll faiza foxy Sky Eclat na wengine wengi.
Naomba ambao sijaweza wataja leo msiwe na kinyongo. Majina mengine yamenitoka la msingi mnipokee dada yenu na tushirikiane elimu mbalimbali.