Bi Khadija nmekuja ku share nanyi mambo kadhaa. Tufahamiane members

Bi Khadija

Member
Aug 20, 2018
79
237
Naitwa bi khadija. Nimejiunga muda kidogo JF lakini nikajikuta napendelea kwanza kufahamu wahusika wa humu na mambo ya humu.

Nmefanikiwa kuwafahamu watu kadhaa hasa nikivutiwa na uandishi mzuri wa GuDume na stories zake za kufunza na kufurahisha kwa uandishi mahiri kabisa.huwa ananifariji sana huyu bwana.i like him

Kuna pia kijana mmoja anaitwa Zero IQ nadhani atakuwa mtoto au mdogo wa gudume naye nmekuwa nikimsoma kupata visa mbalimbali.hasa habari za mapenzi.sijui atakuwa na umri gani.

Mmoja pia ya watu wanaonivutia kwenye uandishi wao wa kifasihi ni pascal mayala.nmekuwa naye nikipenda jinsi akiwachenga watu kwenye threads zake.utu uzima dawa

Mtaalamu asiye na choyo ya elimu CHIEF MKWAWA. Huyu nadhani kwenye IT ni mmoja ya watu muhimu sana humu ndani nmemsoma kila mara akitoa mawazo yake jengevu

Kuna wengine naopenda wasoma kama Bujibuji , Chizi Maarifa na kijana tajiri Kiduku Lilo. Bila kuwasahau wenzangu akina Ma Mshuza Baby Doll faiza foxy Sky Eclat na wengine wengi.

Naomba ambao sijaweza wataja leo msiwe na kinyongo. Majina mengine yamenitoka la msingi mnipokee dada yenu na tushirikiane elimu mbalimbali.
 
Karibu Sana Bi khadija kwanza kabisa pole kwa Swaumu pili nasubiri umalize mfungo tukutane PM kwako tuyajenge
 
Huwa ni muwazi napenda kwa jambo lolote liwe wazi tu.so kama you think you have anything to share unaweza tu kuandika hapa.

Kwa uandishi huu, naomba nihitimishe kwa kusema kwamba, wewe ni mwenyeji uliekuja na ID mpya.....
 
Back
Top Bottom