Bi. Khadija Mkomanile, mwanamke jasiri wa Vita vya Maji Maji

Hakuna kitu kinachoitwa jina la kiislam au jina la kikristo. Kuna jina la kiarabu au 'kizungu'. Uislam umetumika kueneza tamaduni za kiarabu kama ambavyo ukristo umetumika kueneza tamaduni za kizungu. Matokeo yake utambulisho wa kiafrika umepotea kabisa sababu ya kuwa brainwashed.
California,
Watu wa Makka walipoingia Uislam waliendelea na majina yao yale yale ya zamani waliyopewa na wazazi wao.

Hakuna aliyebadilishwa jina kwa kuwa kawa Muislam.
 
Sheikh Mohamed Said: asante sana kwa hili, hawa ni mashujaa wa Nji hii. Ila nikusifie kwa jinsi unavyowatafuta mashujaa "wetu" - ema ni Manyema, au ni Waislamu. Aidha, kwenye Kitabu chako cha Sykes (in English) kuna Mwajuma Tarimo wa Kahe, Kidawa Maganga wa Shinyanga, Mwanahamisi Mollel wa Mto wa Mbu, Mwanamkasi Kigoda Handeni, Khadija Ngalula (huyu ni Mmanyema wa Coretco) - waungane na Bibu Titi Mohamed. Safi sana, walipigania Nji yetu siyo dini yao, ni wana TANU si maislamia EAMWS Aga Khan wa Pakistan.

On another nite, majuzi nilikuwa Songea kuna 5* Hotel inaitwa Nkosi Zwangedaba Hotel, nzuri sana. Who is he? What is Nkosi?
 
LGF,
Sijakufahamu vyema.
 
Katika picha unakomaa na Abdulrauf Songea Mbano badala ya kutuonyesha shujaa wetu Bi. Khadija Nkomanile ambae ndiye main character wa huu uzi!🚶🚶🚶
Tatizo huyu mtaalamu wetu malengo yake mahsusi hua inakua ni kuelezea zaidi inshu za kidini kuliko historia hapo lengo ni kumtambulisha HADIJA na ABDULRAUF na sio historia kuhusu mashujaa wa majiamaji
 
Dudu...
Hakika umesema kweli.

Kilichonisukuma mimi kuandika kitabu changu cha kwanza, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism," Minerva Press London, (1998) ni kutaka kueleza mchango wa Waislam katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa utakisoma kitabu hiki lazima utajiuliza kwa nini haya hayakuandikwa katika historia ya Tanganyika?

Je ni khiyana au wanahistoria hawakuwa wanaijua historia ya kweli ya uhuru?

Hivi ndivyo nilivyojiuliza.

Kwa nini wanahistoria wanapoandika historia ya Maji Maji wanakwepa kutaja mchango wa Waislam kupelekea kukwepa kuyaandika majina ya Kiislam?

Bahati mbaya huenda wewe hupendezwi na historia hii.

Lakini vyuo vingi vinavyosomesha African History wanataka kujua zaidi kuhusu nashujaa kama Khadija Nkomalile na Nduna Abdulrauf Songea Mbano.

Wanashangaa kuwa iweje wanahistoria wawe hawajui majina ya watu wanaowaandika tena baada ya utafiti?

Kitabu changu cha mwisho ni "Rajabu Ibrahim Kirama Kutoka Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam," (2020).

Sasa hili kwako kwa bahati mbaya ni "tatizo."

Kwa wasomi wengi hii ni elimu mpya inayostahili kujulikana.
 
1615644035790.png
Bi Khadija kwa nionavyo mimi ni huyo wa kushoto kati ya wawili upande wa kulia nyuma.Amekaa mkao wa kike zaidi.
 
  1. Hapana Mzee wangu sio kwamba sipendezwi na historia hii lakini nilijaribu kuelewesha kwa mkosoaji aliepita kuwa lengo la mzee wetu ni kutupa ilmu zaidi kuhusu mashujaa wa kiislamu na harakati za uhuru wetu kifupi pamoja nakuandika mambo ya waislam maandiko yako yamenifunza mambo mengi sana na hili limepelekea hata kuangalia mahojiano yako kila ninapobahatika kuona ukihojiwa Itambulike kua ninaheshimu kila andiko lako Mzee​

hapana

Ahsante sana.
 
Jee, lini Padri Sivalon atatangazwa kuwa shujaa namba wani wa Waislamu Wakereketwa wa Tanzania kwa kuanika ukweli wa uonevu na ubaguzi dhidi ya Waislamu? Huyu Padri angepaswa kuitwa Mtume Sivalon, na alitabiriwa kwenye Kurani kama ukisoma mistari ya aya husika kwa ustadi madhubuti.
 
Jee, lini Padri Sivalon atatangazwa kuwa shujaa namba wani wa Waislamu Wakereketwa wa Tanzania kwa kuanika ukweli wa uonevu na ubaguzi dhidi ya Waislamu?
Schmidt,
Ikiwa waandishi watafiti wanaoandika mambo muhimu wanatangazwa mashujaa nadhani heshima hiyo angepewa kwanza David Yallop aliyeandika "In God's Name.''

1615659282010.png
 
Majina ya Kiislam au ya Kiarabu? Kumbuka Waziri wa mambo ya Nje wa Iraq wakati wa Saddam Hussein alikuwa mkristo mwenye jina la kiarabu "Tariq Aziz"
Yes hayo ni majina ya kiarabu sio ya kiislam. Ni Kama Roman Catholic ili ubatizwe mpaka upewe jina la kizungu au kimagharibi pambafu. Yaani ukiitwa Gwantwa, Anyimike au Ambakisye au Lusajo kule hubatizwi eti siyo jina la mtakatifu.

Tumekuwa watumwa na tunaendelea kuwa watumwa.

Wenzetu South Africa hawana hii wanatumia majina ya asili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom