Bi harusi akilia ukumbini siku ya harusi anamaanisha nini?

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Habari zenu wana JF.

Mara nyingi nimekuwa naona akina dada siku ya harusi wakiwa ukumbini kuna kipindi wapambe wao wanapata shida sana kuwafuta machozi wakiwa wanalia, tena hata huko kwenye sendoff vilio ni vilevile............. swali kwenu ninyi ma Bi harusi wapya(ambao mmefunga ndoa hivi karibuni na mlilia ukumbini) na wale wa zamani huwa mnawaza nini mpaka mnaliaaaaaa???? Sisi wanaume tuwe tunawaelewaje?
 
vilio vya furaha kila harusi?......sikuhizi wanajikamua machozi bwana,kama uliangalia miss TZ ya mwaka jana kuna mmoja alijikamua weee,,,
 
[h=3]The Woman [/h] When God created woman he was working late in the 6th day.
An angel came and said..

"why sped so much time on that one?"

And the Lord answered..

"Have you seen all the specifications I have meet to shape her?, she must be washable, but not made of plastic, have more than 200 moving parts which all must be replaceable and she must be able to embrace several kids at the same time, give a hug that can heal anything from a bruised knee to a broken heart and she must do all these things with only two hands"

The angel was impressed

"Just two hands....impossible, and this is the standard model?!,too much work for one day...wait untill tomorrow and then complete her"

"I will not", said the Lord. I am so close to complete this creation, which will be the favourite of my heart, she cures herself when sick and she can work 18 hours a day"

The angel came nearer and touched the woman.

"But you have made her so soft Lord"

"She is soft", said the Lord, "But I have also made her strong, you can imagine what she can endure and overcome"

"Can she think?" the angel asked.

The Lord answered:

"Not only she can think, she can reason and negotiate"

The angel touched the woman's cheek..

"Lord it seems this creation is leaking, you have put too many burdens on her"

"She is not leaking...it is a tear" the Lord corrected the angel

"What's it for?" asked the angel

And the Lord said..
"Tears are her way of expressing her grief, her doubts, her love, her loneliness, her suffering and her pride"

This made big a impression on the angel.,

"Lord you are genius, you thought of everything. The woman is indeed marvellous!"

"Indeed she is, woman has strength that amazes man, she can handle trouble and carry heavy burdens. She holds happiness, love and opinions, she smiles when feeling like screaming, she sings when she feels like crying, crys when she feels she is happy and laughs when she is afraid, she fights for what she believes in, stand up against injustice, she doesn't take "no" for an answer when she can see a better solution. she gives herself so her family can thrive, she takes her friend to the doctor if she is afraid, her love is unconditional.
She cries when her kids are victorious, she is happy when her friends do well. She is glad when her friends do well.,she is glad when she hears of a birth or a wedding , her heart is broken when a next of kin or friend dies, but she finds the strength to get on with life, she knows that a kiss and a hug can heal a broken heart".

There is only one thing wrong with her...

"SHE FORGETS WHAT SHE IS WORTH"
 
Usanii tu hakuna kulia wala nini..kwanza anafurahia atakavyoenda kukesha na dushelelee..!!
 
huwa tunakumbuka wanandoa wengi jinsi wanavyopata shida kwenye ndoa zao, wanavyosumbuliwa na waume zao, kulala nje, kuwa na nyumba ndogo,jamani mateso ni mengi sana maana kuna msemo wanasema "wengine wanataka kutoka na wengine wanaingia "
 
huwa tunakumbuka wanandoa wengi jinsi wanavyopata shida kwenye ndoa zao, wanavyosumbuliwa na waume zao, kulala nje, kuwa na nyumba ndogo,jamani mateso ni mengi sana maana kuna msemo wanasema "wengine wanataka kutoka na wengine wanaingia "

Yaa! Nadhani ni moja ya sababu
 
Analizwa na furaha mkuu na wala sio huzuni kama wengi wanavyodhani..........

"Tears are her way of expressing her grief, her doubts, her love, her loneliness, her suffering and her pride"


Mtambuzi, hapo juu umemention furaha na hapo chini kwenye uumbaji sijaona machozi yakiexpress furaha, nieleweshe mzee mwenzio, ni kweli kinachowaliza ni furaha tu ....?
Au kuna la zaidi kama huzuni kuiacha familia yake, au kutokuamini kama hiyo siku imefika au ....!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana JF.

Mara nyingi nimekuwa naona akina dada siku ya harusi wakiwa ukumbini kuna kipindi wapambe wao wanapata shida sana kuwafuta machozi wakiwa wanalia, tena hata huko kwenye sendoff vilio ni vilevile............. swali kwenu ninyi ma Bi harusi wapya(ambao mmefunga ndoa hivi karibuni na mlilia ukumbini) na wale wa zamani huwa mnawaza nini mpaka mnaliaaaaaa???? Sisi wanaume tuwe tunawaelewaje?


I THINK ANAKUA HAAMINI TENA ILE BIG SHOW NILIOKAWA NAMPA KINYEMELA NYEMELA SASA ANAENDA KUIPATA KWA KUJINAFASI,AKIFIKIRIA JINS ATAVOKULA PIPI YA KIJITI KWA NAKSHI NAKSHI KWA NINI CHOZI LISIMTOKE??

ANAFIKIRIA ULE UTAMU

NANI ASIEPENDA UTAMU??
:madgrin: :madgrin:
 
Wizi mtupu......hawana lolote wakifika huko ndani wanasumbua kweli
 
Chozi la furaha, pembeni muziki wa dada huyooooooooo..................
 
inabidi MC aweke session special kwenye ratiba ya bi harusi kulia. Akimaliza tunampgia makofi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom