Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Habari zenu wana JF.
Mara nyingi nimekuwa naona akina dada siku ya harusi wakiwa ukumbini kuna kipindi wapambe wao wanapata shida sana kuwafuta machozi wakiwa wanalia, tena hata huko kwenye sendoff vilio ni vilevile............. swali kwenu ninyi ma Bi harusi wapya(ambao mmefunga ndoa hivi karibuni na mlilia ukumbini) na wale wa zamani huwa mnawaza nini mpaka mnaliaaaaaa???? Sisi wanaume tuwe tunawaelewaje?