Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

mie ningejichukulia simu yangu as nimeamua kukaa kimya na kusikiliza, then ningeirekodi maongezi na mengine yoyote watakayoongelea, then naenda kumwekea asikilize na ajijue ataamua nini kuacha au kuendelea na tabia. na kuumsema nikitulia roho ili nisife bure kwa ajili ya tendo lake au niseme matendo maana anaweza akawa na wengine huko.

mh, yawezekana iwapo alikunanga kwa kutamka jina lako kama hakutamka atakuruka kimanga. chezeiya wanaume weye. . .
 
weng wanasema haiwezekani mwiz kutomtambua anaye mwibia.me nasema inawezekana couz nina mf. hai.ilikuwa hv, issa alikuwa anafanya kaz mkoa tofaut na mchumbaake (amina) baada ya muda wakafunga ndoa kisha amina akahamia ktk mkoa anaofanyia kazi issa mumewe. siku 1 amina akaenda salun, kumbe hapo salun kuna kimada wa issa,bas wadada bila kujua wakaanza story "tunasikia issa alipoenda likizo alienda kuoa, ngoja aje huyo kibwengo tumwone. kumbe kibwengo ni amina ila walikuwa hawajamfahamu. alichokifanya
 
nyie ndo mnaokewa mitego na kunasa kirahisi
ni nadra sana kwa mashangingi ya mjini watembee na mtu wasimjue mkewe
inawezekana hiyo ni set up.....ili uvunje ndoa wajisogeze....
rafiki hii ni kweli kabisa, hawa ndugu wana juhudi sana za kutafuta wake za hao wanaotembea nao............ walimfanyia makusudi.
mimi ningemaliza shughuli zangu, kama nilikuwa napiga story ningeendelea, najua watadhani sijaelewa somo, na nitawaacha hivyo hivyo. nikirudi home, huko ndo kitaeleweka
 
Ushawahi sikia ule usemi "ukikimbia nchale, ukichimama nchale, uchiteme wala uchimung'unye"

Akikana kuwa alikuwa hakusungumzii wewe maanake ana kimada zaidi ya mmoja...sasa akubali kuwa alikuwa anaku bonda au akane aongeze makosa.

mh, yawezekana iwapo alikunanga kwa kutamka jina lako kama hakutamka atakuruka kimanga. chezeiya wanaume weye. . .
 
weng wanasema haiwezekani mwiz kutomtambua anaye mwibia.me nasema inawezekana couz nina mf. hai.ilikuwa hv, issa alikuwa anafanya kaz mkoa tofaut na mchumbaake (amina) baada ya muda wakafunga ndoa kisha amina akahamia ktk mkoa anaofanyia kazi issa mumewe. siku 1 amina akaenda salun, kumbe hapo salun kuna kimada wa issa,bas wadada bila kujua wakaanza story "tunasikia issa alipoenda likizo alienda kuoa, ngoja aje huyo kibwengo tumwone. kumbe kibwengo ni amina ila walikuwa hawajamfahamu. alichokifanya
kwa story yako inawezekana sababu ndo walikuwa wameoana tu. huyo Amina angekaa huo mkoa mwezi tu huyo kimada angeshamfahamu
 
. . . . alichokifanya amina ni kusikiliza maongezi yote kwa makini kisha akarudi zake hm, akaanza kufunguka kwa upole kwani ndoa yao ilikuwa haijamaliza hata mwezi. alimwambia mumewe yote na akamwambia hata kama hunipendi sio kwenda kuninanga kwa machangudoa kama wale. . make maongezi yao nimeyasikiza wana wanaume wengi. kumbuka ulikuwa nao hapa mbeya (si jina halisi) miaka yote km ulikuwa unawapenda ungefunga nao ndoa. mume alikiri na kuomba msamaha mpk leo wana amani, hta km anacheat ni kwa heshima!
 
It was a matter of time tu. Si unaona walivyopania kukifahamu hicho kibwengo...lazima, lazima mwenye mali utafutwe ujulikane. Ili ajue kama anaweza ku compete au atumie nguvu za ziada. Lol.

weng wanasema haiwezekani mwiz kutomtambua anaye mwibia.me nasema inawezekana couz nina mf. hai.ilikuwa hv, issa alikuwa anafanya kaz mkoa tofaut na mchumbaake (amina) baada ya muda wakafunga ndoa kisha amina akahamia ktk mkoa anaofanyia kazi issa mumewe. siku 1 amina akaenda salun, kumbe hapo salun kuna kimada wa issa,bas wadada bila kujua wakaanza story "tunasikia issa alipoenda likizo alienda kuoa, ngoja aje huyo kibwengo tumwone. kumbe kibwengo ni amina ila walikuwa hawajamfahamu. alichokifanya
 
Ushawahi sikia ule usemi "ukikimbia nchale, ukichimama nchale, uchiteme wala uchimung'unye"

Akikana kuwa alikuwa hakusungumzii wewe maanake ana kimada zaidi ya mmoja...sasa akubali kuwa alikuwa anaku bonda au akane aongeze makosa.

hahahaa, hapo atakuwa kajikamatisha kiulaini. . .
 
Lolote utakalofanya Komondo wangu King'asti ni fair pay ya matukio ya huyo dume bwe-ge!!

Mtu mwenye heshima zako huwezi kutoka na mwanamke ambaye adabu yake ina mashaka!

Babu DC!!
Babu, tatizo la nyie waume zetu sijui ndo kupenda adventure? mimi huwa najishangalia tu mnavyohangaikaga na mashangingi
 
Mkuu motive hapa iko wazi
Shangingi kaona kidume hakina mpango wa kumuacha mkewe
so analeta 'ugomvi' ili mke ajione 'katukanwa' na kwa hasira aondoke mwenyewe...
ili shangingi lipate upenyo wa kuingia ndani......
soo hii ni set up.....na mume ni b.w.ege hajui kinachoendelea
halafu kuna jingine la kuwapigia simu wake za hao wanaume wao......... yaani mtu ana guts za kunipigia simu na kuniambia anatembea na mume wangu.
kuna siku rafiki yangu ananiambia kapigiwa simu na mdada, anasema amezaa naye, mtoto ana wiki 2. na baada ya hapo zikaanza mvua za sms, nikamwambia rafiki usipokee tena simu yake na wala usijibu hata sms moja, haya mambo ni ya kuongea wewe na mumeo, siyo huyo mwizi ambaye hata hujui kama story ni ya kweli au la. baada ya miezi miwili ikaja story mtoto yupo hoi na atakufa siku yoyote, nikamwambia rafiki hakukuwa na mtoto huko, ni utapeli tu, alitaka hii ndoa yako. hiyo ndo bongo daresalamu, kila kituo cha daladala kuna abiria, shuka mwingine achukue siti
 
It was a matter of time tu. Si unaona walivyopania kukifahamu hicho kibwengo...lazima, lazima mwenye mali utafutwe ujulikane. Ili ajue kama anaweza ku compete au atumie nguvu za ziada. Lol.

he hee eti kibwengo
wanawake wanapenda mno kutukanana ...
sisi angalau hueshimu mwente mali....lol
 
Hiyo kali. Kwa sisi tuso wavumilivu mbona kingeeleweka tu.

Sijuagi ku ignore...ukilianzisha lazima kileleweke tu.

halafu kuna jingine la kuwapigia simu wake za hao wanaume wao......... yaani mtu ana guts za kunipigia simu na kuniambia anatembea na mume wangu.
kuna siku rafiki yangu ananiambia kapigiwa simu na mdada, anasema amezaa naye, mtoto ana wiki 2. na baada ya hapo zikaanza mvua za sms, nikamwambia rafiki usipokee tena simu yake na wala usijibu hata sms moja, haya mambo ni ya kuongea wewe na mumeo, siyo huyo mwizi ambaye hata hujui kama story ni ya kweli au la. baada ya miezi miwili ikaja story mtoto yupo hoi na atakufa siku yoyote, nikamwambia rafiki hakukuwa na mtoto huko, ni utapeli tu, alitaka hii ndoa yako. hiyo ndo bongo daresalamu, kila kituo cha daladala kuna abiria, shuka mwingine achukue siti
 
Unatafuta uongo wewe ...atakuja tu. Hata ikibidi kudanganya unamwambia huwezi kutembea unahisi umepata stroke...atakuja tu.
Inategemea lakini mnaishije...mi wangu najua namna ya kumfanya aje.
hapo upo salon sinza yeye kazini kurasini, sasa kama anakupenda mpaka afike sinza si ushakufa? atapiga simu upate huduma haraka na atakukuta hosp. huyo ni kukutana nyumbani tu, hakuna haja ya show
 
he hee eti kibwengo
wanawake wanapenda mno kutukanana ...
sisi angalau hueshimu mwente mali....lol
ndo maana mimi nimegoma kabisa kujiachia, hata kama ninazaa, nahakikisha narudi kwenye mstari faster. wakinitafuta kuona kama ni kibwengo wenyewe wanarudisha majeshi, maana watajiona wao ndo vibwengo........... habari za kulinganishwa na kuitwa kibwengo hapana.
 
Hata kama siyo siku hiyo hiyo, huyo dawa yake ni show tu. Si anajifanya kunirusha roho...mimi sasa yake sirushi naipaisha.

Mi ndio maana nasisitiza wamama kwenye ndoa muwe mnawapeti waume zenu adharani ili vibwengo na visebengo roho iwaume. Kama ni mashindano tulishashinda long time kitambo kwa kutangazwa mbele ya Mungu na kadamnasi kuwa ni wamiliki halali. Sasa kwa nini mtu usionyeshe show; kama wapo waumie roho...nimekumbuka taharabu ya Mzee Yusufu.

Back
Top Bottom