Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

Nyerere alikuwa na watoto wengi mnaposema mjukuu muwe mnawataja na wazazi wao!! Sasa huyo Julius ni mtoto wa Nani? Anna au marehemu John?
Huyu Julius ni maarufu sana mkuu.
Aliimba mziki pia ila alijua kuficha identity yake sana.

Kama ni mfuatiliaji wa mziki kuna kundi lilikua linaitwa rockas,,..
Umo walikuepo kina moo racka, quick racka na huyo alijiita chief rocka.

Ila kwasasa naona kaacha kuimba anafanya kazi bank nafikiri.
Ila ni maarufu maarufu kiasi chake.
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea...
Duuuih hii kali
 
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
Hivi mtu unajitoaje ufahamu kutoa hitimisho kuhusu furaha ya moyoni ya mtu tena kuhusu matrimonial issues kama ndoa?!? Tunazidishaga ujuaji.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom