Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
56,300
2,000
Wajukuu wa nyerere nnao wajua vizuri ni wale watoto wa j.nyerere waliyokuqa wanaishi mwananyamala opp na kambangwa clinic ya watoto....ngoja badaye ntaingia chimbo khs huyu bhoke nmjue vzr

Ova
 

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
4,359
2,000
Nakupinga tena kwa 100% unaposema Mjane amerudishwa Tabasamu wakati tunaomjua tokea akiishi na aliyeondoka hapo Ada Estate hivi sasa tunamuona ndiyo akiwa na Furaha, Nuru yake inarejea na hata ule Uzuri wake wa Asili uliokuwa umefunikwa na Mateso na Manyanyaso huku akidharauliwa mno nao umeanza kurejea.

Pongezi kwa Mwonekano wake wa sasa hasa Mnyoo wake kwani umemuongezea Thamani yake maradufu. Mjane ana Tabasamu zuri ambalo Mwanaume yoyote Rijali ukibahatika Kukumbana nalo ni lazima tu utaingia Kingi na Kumpenda kama ilivyokuwa Kwake Mkemia wa Chato. Mjane ni Photogenic sana tena Kuwazidi First Ladies wote wa Tanzania.
Ila we jamaa unajua kukera sana! Team mataga enzi za buku7 time hii washakudemkia vya kutosha
 

kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
878
500
Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa.

Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia kuamsha tabasamu lililozimika miezi kadhaa Sasa la Mama yetu Janeth tangu aondokewe na Mumewe.

Tunajadili utumishi wa Mwalimu kwa Taifa letu tumekuwa tukimtafuta mwanafamilia yeyote anayeweza kwa asilimia ndogo kuvaa viatu vya Mzee huyu lakini hatukuweza kumpata kupata kwa watoto wake, je tukimuliza wajukuu wake tunaweza kuibuka na kipaji? Tunaomfahamu Bhoke Nyerere tupeni taarifa zake na kwanini awe karibu na Bibi badala yakuwa karibu na majukumu yake Kama walivyo wajukuu wengine?
Mawazo ya kijinga
 

NYANYADO

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
3,425
2,000
Madaraka na yeye apewe nafasi.

Kuna burudani tunaikosa kama taifa.

Nakumbuka kura za maoni ubunge Butiama.
 

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,942
2,000
Ana shape nzuri na miguu minene.Kako vere sweet

.

giphy.gif
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Kuna mjukuu mmoja anaitwa Julius..super humble ..ana integrity sana

Nyerere alikuwa na watoto wengi mnaposema mjukuu muwe mnawataja na wazazi wao!! Sasa huyo Julius ni mtoto wa Nani? Anna au marehemu John?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom