Bhoke na Lotus waomba kura zako Mtanzania.

BBA ni uovu...hakuna mema watu wa kanisa wanaweza jifunza.....hakuna jema watanzania wanaweza jifunza.....tupange mabo ya maana ..na SI KUPIGA KURA ZAKUENDELEA KUONYESHWA DADA ZETU WAKIGAWA NGONO KAMA PIPI
 
Pamoja na Uchafu wote wanaoufanya, dada zetu wa BBA Bhoke na Lotus eti wanasema wanawawakilisha watanzania na wala hawajiwakilishi wao, so wanaomba kura yako wabaki ndani ya BBA. Ifuatayo chini ni taarifa toka Blog ya Michuzi .
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/05/lets-all-please-support-bhoke-and-lotus.html

Na hii ni Link ya Bhoke na Lotus ndani ya facebook.
http://www.facebook.com/pages/Bhoke-Lotus-for-BBA-Amplified-winners/201141539924214?ref=ts

kura yangu sitoi
tena wakome kusema eti wanatuwakilisha sisi mjengon, sisi co wachafu kiasi hicho.
 
Ohhhhh! Nimekumbuka, mi naona tuwape mana wanaona wakirudi huku kitaa, uchafu wao hautaonekana maana wanapenda kufanya mambo yao hadharani. So cant u see that they wont be free? Just vote 4 them bt mi najiondoa aisssse!
Sa hiv nikienda huko kusini itabidi nijifanye black American kwani nikisema mi Mtz watanishushia my value.
 
Mfumo Dume at work, angekuwa mkaka wa kitanzania anafanya hivi wengi wetu tungemsifia na kumuta kijogoo/rijali ila kwa kuwa ni mwanadada basi tunaanza kusema kalidharirisha taifa hizi double standards hizi zitaisha lini?
 
Sio siri hawa wanawake huwa wanatutia aibun kila wanapochaguliwa kushiriki BBA.Tuwatoe mapema jamani kabla hawajapigwa mimba maana itakuwa aibu kwetu sote.
Hawa multichoice tz wakome kutupelekea kina dada mle ndani kwani wameprove failure ktk strategies zao kila mara.Wamesaahau kuwa Mwisho aliponzwa na mapenzi?
Wakiwekwa kikaangoni tuhakikishe wanatoka kabisa.
 
jaman kwa nin wasipigiwe kura?mfumo dume utaish lin ktk jamii ya waafrka?dada yetu alfanya mwenyewe?mbona ernest halaumiwi?richard alikuwa anafanya nin na tatiana?tuache ujinga wa kuona mwanamke anachofanya n big isu,let us sapot them bse they not fake and that is da way they are.


Oooh Really?
 
images


huu ni use****nge siwezi kupiga kura
 
Pamoja na Uchafu wote wanaoufanya, dada zetu wa BBA Bhoke na Lotus eti wanasema wanawawakilisha watanzania na wala hawajiwakilishi wao, so wanaomba kura yako wabaki ndani ya BBA. Ifuatayo chini ni taarifa toka Blog ya Michuzi .
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/05/lets-all-please-support-bhoke-and-lotus.html

Na hii ni Link ya Bhoke na Lotus ndani ya facebook.
http://www.facebook.com/pages/Bhoke-Lotus-for-BBA-Amplified-winners/201141539924214?ref=ts
Huyo Bokhe hawezi kupata kura yangu,mpaka aeleze kisa cha kulala kwenye jacuzzi na huyo kijana wa Kiganda live ni nini, au huo ndio utaratibu wa jumba????????? Jieleze Bhoke hapa kwenye jamvi, kuna kura nyingi hapa jitahidi!!!!!!!!
 
Jamani waacheni tu manake hata mkiwasema wawasikii...once water has split down you can't pick it up again bana.
Nyie mnafikiri kila mtanzania anachukizwa(mimi nachukizwa) na wanachokifanya huko?
subirini watakaporudi muone midume itakavyowapigia misele.
 
Kwa wanayoyafanya mimi mjengoni nasema mimi hawaniwakilishi japo kuwa ni Mtazania, sipigi kura ng'o. kwanza wanawaumiza mwapenzi wao hapa bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom