Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

......anyway Mzee Munanka na alale kwa amani

Alale kwa amani vipi wakati ushammaliza siku nne mfululizo na post zako zinazojirudia rudia bila ku back up shutuma zako. Guilty conscious inakumaliza sasa hivi. Talk about flooding the forums!
 
Napenda kutoa Pole kwa Dhati kwa wote walioguswa na Msiba Huu.Mengi yamezungumzwa hapa,lakini Waungwana Chonde chonde,tuwe na Ustaarabu wa kuheshimu waliotangulia,si vyema kuandika mambo ya Uzushi na Hisia bila ya kuwa na uhakika na kile unachoandika.Take Five Kaka Jasusi,nimefurahi kwa msimamo wako wa kutetea haki na Ukweli.Mengi yamesemwa hapa,yapo mengi ya ukweli na mengine hayana ukweli hata kidogo.
Mke wa Mzee Bhoke ni muangaliaji sana humu,Ni wazi akirudi ktk kituo chake cha kazi,atapitia hapa kuangalia nini kinazungumzwa kuhusu Mumewe...basi tuseme ukweli na tuache fitina na Uzushi...Hongera sana kwa wote waliochangia hapa kuboresha Historia ya Tanzania.
 
..............HIVI KUNA UKWELI WOWOTE KUWA CHUKI YA MALECELA KWA MWALIMU BINAFSI ...ILITOKANA NA KITENDO CHA MALECELA KUMKOSEA ADABU MWALIMU KWA MKEWE MARIA...MAANA HILI LIMEONGELEWA PIA KWENYE RANKS,AU KAMA NI SEHEMU YA PROPAGANDA ZA WATU WASIOMTAKIA MEMA HUYU MZEE TUJUE.....WANASEMA NDIO MAANA MWALIMU ALIKUWA HAACHI KUMUITA MUHUNI..PAMOJA NA KUWA KWENYE SERIKALI YAKE MA PLAYERS KAMA KAWAWA WALIKUWA WENGI"=tunaweka historia sawa jamani,si lengo kukashifu...thx
 
FMES,

Respectfully Mkuu, this is too much below the belt and your personality and credibility are on the line this time around!

You have become vindicative of Mzee Munanka and you have classically be unfair to not only to Mzee Munanka but also to Mzee Malecela.

Whatever differences that might have existed between Mwalimu, Munanka v/s Malecela, this was not the right place to sort of expose the anger or the issues. What we have learned in the last 2 days since this thread started is more than what we would have asked especially on Msiba!

Not only you have managed to tarninsh Mzee Munanka, but also you have put credibility of Mzee Malecela in jeopardy if you have not realized that! What happened between them, was behind the scenes, we were not supposed to know unless one of them came publicly and declared the differences.

I will urge you to take a step back and reflect on what you have forcefully stated here in the name of Kumkoma nyani giladi and ask yourself if this was about Mzee wangu Tinga x2(yes I call him Mzee wangu because of close personal relationship my family has with Mzee Malecela and his family), how would those who care for Mzee Tingax2 feel? How should we react if our support to Mzee Malecela one day is destroyed by stories similar to the ones you are telling us about Mzee Munanka?

You need to draw a line dear brother!
 
Rev. Kishoka,

Mkuu siamini ume take such a stand!

You got balls man, you got balls! Jamaa aliwahi kusema kwamba mnajuana na kuheshimiana, hivyo nadhani haikuwa rahisi kwa wewe kuchukua hiyo position dhidi yake. Na ulichosema kiko gracefully and moderately worded yet a clear, strong message.

You are a man of principle.

I tip my hat to you.
 
Poleni wafiwa.Kwa hiyo nimekuja kujua kwa maelezo ya FMES Mwalimu nyerere nae ni Fisadi alimlea Bonke......hafai kuitwa baba wa taifa sasa....au?
 
Kwa hiyo nimekuja kujua kwa maelezo ya FMES Mwalimu nyerere nae ni Fisadi alimlea Bonke......hafai kuitwa baba wa taifa sasa....au?

Unamchukulia serious mtu ambae ameshindwa kuthibitisha madai kuwa Nyerere alikuwa anafanya michezo ya nonino na kina Mama? FMES is not entitled to his own facts wandugu. Just because analeta "dataz" kutoka kwa hao family friends zake kina Rupia haina maana kila anachosema ni kweli. Look at this bunch of hooey here:

Na besides, yeye mwenyewe Mwalimu, alikuwa na tabia hiyo hiyo chafu ya kuwa na mawahara nje ya mkewe Mama Maria, kuanzia Lucy Lameck, Mama Mary Mackeja, na Mama Doris Makene, na yule Mama Wickens, lakini haukukuwa na mwenye ubavu wa kumuuliza kuwa na wewe Mwalimu, mbona pia ni fuska na mhuni kama unavyowaita wenzio...
 
Hii topiki nimechelewa sana kuichangia lakini tumefundishwa kuwa kawia ufike, na nimefika. Napenda kukumbusha tulikotoka na nafasi ya marehemu.

Bhoke Munanka alikuwa tajiri sana hata kabla hajaingia kwenye siasa. Hakupata utajiri kwa ufisadi kabisa. Watu wa namna hiyo walikuwapo wengi sana Tanzania: Amil Jamal, Paul Lupia, etc.

Baada ya uhuru, kuna baadhi ya wanasiasa walianza kuchangamakia kujipatia mali, tunamkumbuka sana Kambona kwa vile mambo yake yalitangazwa sana.
Ilipofika Azimio la Arusha, Nyerere aliwapa nafasi washiriki wake wachague: kuendelea na biashara zao au siasa. Kati ya makosa ambayo Nyerere alifanya ni kuwa hakugusa bishara za washiriki wake walioondoka kwa hiari zao.

Sasa kuna waliioondoka kwa hiari zao (mmojawapo Bokhe Mnanka na Paul Rupia, baadaye alifuatia Said Maswanya), kuna waliojitolea mali zao ziwe za umma (mmojawapo Amil Jamal), na kuna waliokataa zoezi lote hilo (mmojawapo akiwa Oscar kambona).

Baada ya hapo Mzee Mnanka akajenga jumba kubwa sana kule tarime kwa ajili ya baba yake; inasemekana lilikuwa na vyumba kumi na viwili kiasi kuwa kuna vyumba vilikuwa maskani ya nyoka bila baba yake kufahamu kwa vile alikuwa havifungui kabisa. Aliendelea na biashara zake kama mfanya biashara wa kawaida ingawa nafasi yake ya zamani serikalini ilikuwa inamsadida kupata contract nyingi za serikalini ikiwemo na ile ya SCANIA. Ni kweli, it is possible kuwa kuna wakati alitumia influence yake vibaya lakini mimi siwezi kumlaumu kwa vile alikuwa akifanya shughuli zake kihalali kabisa. Kuna mambo yaliyotokea miaka ya themanini kwa bahati mbaya siyakumbuki sawasawa sasa hivi ila ukweli ni kuwa mzee yule alikuwa clean kabisa; alikuwa anachukia rushwa vibaya sana.
 
Kuna mambo yaliyotokea miaka ya themanini kwa bahati mbaya siyakumbuki sawasawa sasa hivi ila ukweli ni kuwa mzee yule alikuwa clean kabisa; alikuwa anachukia rushwa vibaya sana.

Vipi kuhusu sakata la MV Bukoba?

Inadaiwa huyu Mzee ndiye aliyekuwa mhusika wa ujenzi wa meli za MV Bukoba, Serengeti na nyinginezo chini ya mradi wa Belgian Ship Project uliokuwa chini ya Tanzania Railways Corp. Meli zote hizo kwa ripoti za wataalamu zilikuwa chini ya viwango.

Kwa mtu anayechukia rushwa na aliye clean, hili linahitaji utafakari wa ziada.
 
Alale kwa amani vipi wakati ushammaliza siku nne mfululizo na post zako zinazojirudia rudia bila ku back up shutuma zako. Guilty conscious inakumaliza sasa hivi. Talk about flooding the forums!
Mzee alikuwa fisadi, haya maneno yenu ya ujinga hayanisumbui hata siku moja, nyie rukeni mlie, lakini I know for a fact kuwa marehemu alikua fisadi tena namba moja, wengi wenu mnatetea udini wenu na ukabila wenu, now we know kuwa kumbe wakiwa makabila yenu, basi ufisadi wao unakuwa ni safi.

Lakini kwa hiyo hamuwezi kutudanganya wote hapa, the man was a fisadi period.

Next time muwaambie hawa viongozi mafisadi kuwa waache ufisadi, tehn wakifa tutasema ukweli, lakini hatutawasafisha kwa sababu ni ndugu zenu eti kuna msiba, kama kusema Lowassa na Rostam ni mafisadi ni dhambi, basi hata kumsema Munankha kuwa fisadi ni dhambi ile ile, sasa muamue wenyewe mnataka nini? Mimi ninajua nilichoamua kwenye maisha yangu ya siasa kuwa fisadi ni fisadi, nimeona Kubenea alivyomwagiwa tindikali, sasa sina kabisa anything na any fisadi.

Na nianrudia tena kuwa huyu mzee alikuwa fisadi namba moja.
 
Vipi kuhusu sakata la MV Bukoba?

Inadaiwa huyu Mzee ndiye aliyekuwa mhusika wa ujenzi wa meli za MV Bukoba, Serengeti na nyinginezo chini ya mradi wa Belgian Ship Project uliokuwa chini ya Tanzania Railways Corp. Meli zote hizo kwa ripoti za wataalamu zilikuwa chini ya viwango.

Kwa mtu anayechukia rushwa na aliye clean, hili linahitaji utafakari wa ziada.
This' too bad now. Kweli?
 
Appendix-Six-1-of-4-family.jpg

Appendix-Six-2-of-4-family.jpg

Appendix-Six-3-of-4-family.jpg

Appendix-Six-4-of-4-family.jpg

SOURCE
 
FMES,

Respectfully Mkuu, this is too much below the belt and your personality and credibility are on the line this time around!

You have become vindicative of Mzee Munanka and you have classically be unfair to not only to Mzee Munanka but also to Mzee Malecela.

Whatever differences that might have existed between Mwalimu, Munanka v/s Malecela, this was not the right place to sort of expose the anger or the issues. What we have learned in the last 2 days since this thread started is more than what we would have asked especially on Msiba!

Not only you have managed to tarninsh Mzee Munanka, but also you have put credibility of Mzee Malecela in jeopardy if you have not realized that! What happened between them, was behind the scenes, we were not supposed to know unless one of them came publicly and declared the differences.

I will urge you to take a step back and reflect on what you have forcefully stated here in the name of Kumkoma nyani giladi and ask yourself if this was about Mzee wangu Tinga x2(yes I call him Mzee wangu because of close personal relationship my family has with Mzee Malecela and his family), how would those who care for Mzee Tingax2 feel? How should we react if our support to Mzee Malecela one day is destroyed by stories similar to the ones you are telling us about Mzee Munanka?

You need to draw a line dear brother!
With alll due respect mkuu Kishoka,

Mimi ni my own man, sina ubia na kiongozi wala mtu yoyote, hii maneno ya Malecela sijawahi kuyachanganya hata siku moja na anything, ninamfahamu Mwalimu kwa karibu sana, na pia Malecela kwa karibu sana, it took me years kutafuta ukweli wote unaowahusu na sijawahi kuchaganya, haya yote nimewahi kuyasema kwenye Topic ya Legacy ya Malecela, sikuona ukisema haya maneno na wewe ulishiriki sana kule, sasa nashangaa leo yamekuwa haya, kama credibilty yangu inakuwa in question kwa sababu ya kurudia maneno yale yale ambayo nimeyasema mara nyingi toka BCS, so be it kama credibility yangu inakuwa mashakani kwa sababu ninasema ukweli so be it.

And I want to beleive kuwa labda wewe ndiye muamuzi wa credibility yangu na kwamba unajua for a fact kuwa ninapotoa hoja zangu hapa au maoni yangu hapa forum, huwa nina sababu nyingine nje ya topic kama unavyojaribu kusema hapa, maana ndio hasa point muhimu ninayoiona kwenye maneno yako, kwamba ninamsema marehemu kuwa ni fisadi, kwa sababu ya Malecela, Nyerere na Munankha, that is never the ishu, na wala sijui kama ilikuwepoo ishu kati yao, ninamjua sana marehemu tena kwa muda mrefu sana na biashara zake za ujanja ujanja ambazo zilikwua protected na Mwalimu.

Suala la huyu marehemu kuwa fisadi nimelisema kwa muda mefu sana akiwa hai, sasa leo nashangaa kuwa a big deal kwa sababu amekufa, ndio maana sina kabisa wasi wasi na maneno yako, ingekuwa ni mara yangu ya kwanza this time au in the last two days kweli ningeshitushwa sana na maneno yako, knowing how close we are, lakini nimesema kwa muda mrefu sana toka BCS kuwa huyu mzee ni fisadi tena namba moja, sasa leo amekufa nibadilike si na mimi nitakuwa fisadi tena nitapata dhambi zaidi mbele ya Mungu wangu?

Ninaomba tunaposema ishus hapa JF muwe mnazikumbuka, maneno yangu hayana uhusiano wa aina yoyote na hayo uliyoyasema, msimamo wa ufisadi wa huyu mzee umekuwa the same alyways na siwezi kubadilika leo, ya Malecela na Mwalimu nayo pia, nenda kwenye Topic ya Malecela Legacy, yote haya niliyoyasema hakuna jipya!

Pole sana kwa your concern, lakini ninakuhakikishia kuwa fisadi ni fisadi, alipokuwa mzima nilisema kuwa huyu mzee alikua fisadi na in the last two days nimerudia maneno yale yale tu wala sikuongeza jipya, and I stand behind my words.

Ashante Mkulu Wangu, Es ni Sauti Ya Umeme!
 
Quote:
Originally Posted by Yo Yo

Kwa hiyo nimekuja kujua kwa maelezo ya FMES Mwalimu nyerere nae ni Fisadi alimlea Bonke......hafai kuitwa baba wa taifa sasa....au?

Unamchukulia serious mtu ambae ameshindwa kuthibitisha madai kuwa Nyerere alikuwa anafanya michezo ya nonino na kina Mama? FMES is not entitled to his own facts wandugu. Just because analeta "dataz" kutoka kwa hao family friends zake kina Rupia haina maana kila anachosema ni kweli. Look at this bunch of hooey here:

Quote:
Originally Posted by Field Marshall ES

Na besides, yeye mwenyewe Mwalimu, alikuwa na tabia hiyo hiyo chafu ya kuwa na mawahara nje ya mkewe Mama Maria, kuanzia Lucy Lameck, Mama Mary Mackeja, na Mama Doris Makene, na yule Mama Wickens, lakini haukukuwa na mwenye ubavu wa kumuuliza kuwa na wewe Mwalimu, mbona pia ni fuska na mhuni kama unavyowaita wenzio...

Mkuu hata hao maa-aopologists wa Mwalimu haya hawayagusi kabisa unafikiri ni kwa nini? Ni kwa sababu wanajua ukweli ulipo hayo maneno yako mengine kama nilivyokwambia jana nafikiri wewe ni mtu mzima una akili timamu ya kuelewa ukweli kuwa hayanisumbui kwa sababu ndio tabia zako ambazo zamani sikujua kuwa unazo, mpaka ulipofika hapa kwenye internet na ninashukuru snaa kwa hilo la kukujua vizuri tena mapema.

Mkuu Kichuguu nimekusikia, ila kwa huyu mzee kuwa wa kwenu naona standard za ufisadi zinabadilika, that is a shame kwa wale tunaopigia kelee ufisadi hapa kila siku!

Kama kuna sehemu yoyote ambayo sijaeleweka nitarudi baadaye kuiweka sawa I love JF, maana tunasema maoni yetu bila tatizo.
 
Hakuna cha guilty conscious hapa.....marehemu alikuwa Fisadi....period!........
 
Hakuna cha guilty conscious hapa.....marehemu alikuwa Fisadi....period!........

Yaaani mkuu hiii imeniacha hoi sana, kua kumbe jamaa naye anajua maana guilty conscious ni the last thing ningetegemea kutoka kwa jamaa,

Anyways, hii topic imenifundisha one very important lesson, kwamba sasa ninaelewa ni kwa nini mafisadi Tanzania, wamekuwa hawashughulikiwi kumbe ni sisi wenyewe ndio tunawafuga na kuwapalilia njia za kutufisadi,

Tunalia hapa oooh kwa nini rais hawashughulikii mafisadi, kumbe hata sisi tukipewa nafasi yatakuwa ni yale yale tu, na hiii topic pia imenifundisha who is who katika hivi vita na mafisadi hapa JF, kila siku ya Mungu ninamfikiria mtu kama Kubenea na what he has has to go through na maisha yake ya kila siku kwa sababu tu ya kukataa uovu,

Kwa wale wenye kuhitaji credibilty yangu,please naomba muichukue muende naye huyu mnyama credibility, ambaye nikiandika mawazo yangu yoyote ambayo hayapendezi kina flani, basi huyu mnyama ataaandamwa weee in me, ila nikisema ya kuwafurahisha huyu mnyama in me haguswi,

Sasa tena imekuwa msimamo wangu umesababishwa na hasira za Malecela na Mwalimu, great ule msimamo wangu wa kuwa Balali amekufa against karibu watu owte hapa ulikuwa motivated na hasira za nini maana kuna wanaojua kuni-read my mind hapa?, niliposema Malecela amekosea kwa kusema kuwa ishu ya ufisadi sio ya Dr. Slaa, ninaomba mniambie nilikuwa na hasira za nini maana nyie ndio mabingwa wa ku-read my mind? Yaani binafsi sina mawazo, nikiwa nayo tu basi ni motivated by something else what a better way ya kumtukana bina-adam mwingine kwa mawazo yake tofauti na yako!

Sisi tutaendelea na msimamo ule ule, fisadi ni fisadi tu hata awe na rangi ya bluu au nyeusi, awe na dini au asiwe na dini, hata awe kabila gani, au awe na mke wa kabila gani, fisadi is just a fisadi, akiwa mzima au ametangulia kwenye haki, it does not make a different, ni just fisadi tu! Mkuu Ogah, ingawa mara nyingi huwa hatukubaliani kwenye ishu nyingi ambayo ndio demokrasia halisi na I have a lot of respect always kwa your stand on ishus, ninashukuru kwa kusimama kidete kwenye hii ishu serious kuliko nyingi sana ambazo tumewahi kuzipitia huko nyuma, ubarikiwe tu kwa kutkubali kuyumba, najua kuwa unajua ukweli mwingi sana ambao umeambiwa na wakulu, lakini umeamua kuuweka ndani, safi sana, unajua kwenye ukweli unahitaji shahidi mmoja tu sio wengi sana wenye hewa!

Wakuu wengine, vita na ufisadi sio rahisi ndio maana rais wetu anasua sua! Umeona hapo juu kwenye picha aliyeshika mike guess who is that!

I Love JF, Kwenye Kumkoma Nyani Usoni!
 
Back
Top Bottom