Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

Ni Bhoke Munanka Mzaliwa Wa Mkoani Ruvuma Na MMOJA Ya Mashujaa Wasioimbwa Tanzania.
 
Kwa kweli uongo mbaya huyu mzee alikuiwa tajiri bana, sisi tulikuw tunakaa jirani naye pale baruti alipojenga ikulu yake, ndani ya uzio mkubwa katikati kuna nyumba yake ya msonge imejengwa kwa matofari imezungukwa na nyumba za bi mkubwa na bi mdogo, wote amewajengea nyumba ndani ya kijiji chake, sisi enzi hizo tulikuwa tunawaona watoto wake kama watoto wa mfalme. Kila kitu kizuri utawauta nacho. Ndani ya hicho kijiji kulikuwa na kila kittu, mtu akitoka humo ndani yupo kwenye gari, wachache sana kati ya wajukuu zake kama Bhoke na Chalicha ndo walikuwa kwa kiasi fulani wanajichanganya. ila it was a rich family. Thank God nami nilipata elimu yangu nikatoka kwenye ule mtazamo wa kuwaona kama wafalme. Ila swala la kujiuliza huyu mzee alitoa wapi hela za kufanya vitu vile, nazungumzia miaka ya themanini mpaka tisini kabla sijaanza kwenda boding school. Yaani ingekuwa ni enzi hizi huyu mtu angewekwa kundi moja na mafisadi. Sijui jinsi alivyopata pesa, wengi wametoa sababu mbalimbali,sijui, ila uongo mbaya the man was stinking rich.
Inaonekana ilikuwa ni mwiko mtu kumiliki mali enzi hizo.
 
Nimemtaja huyu fisadi kwenye kila topic ya Mwalimu na his chosen's, huyu ndiye aliyekuwa mtoto hasa wa Mwalimu, na ni mmoja kati ya viongozi wachahce under Mwalimu walioruhusiwa kufanya anything, ukienda kwenye topic zote za Mwalimu, kuanzia BCS, nimemtaja sana huyu marehemu, kuwa ni fisadi namba moja na I stand behind my words kuwa ndio tunaomboleza lakini the man was fisadi period!
Shemeji wa mzee labda.
 
Nimesikiliza hotuba za Mwl.Nyerere leo tukiwa tunaazimisha miaka 18 ya kifo chake.
Kwa mujibu wa mwalimu Nyerere, Munanka alifutwa uanachama wa CCM baada ya tuhuma za kuwa yeye ni bepari kutokana na kufuga kuku wengi sana (mia tatu) na kumiliki mashine ya kutotolea mayai nyumbani kwake.
Tumetoka mbali sana.
 
RIP Bhoke Munanka, Mungu amuweke mahali pema, lakini ukweli lazima kusemwa, ninamjua sana huyu mkulu maana aliwahi kuwa jirani mitaa ya Ocean Road na Luthuli.

Kama ni ufisadi Tanzania, huyu ndiye aliyeuanza wengine wanafuatia tu, kina Rostam na Lowassa ni cha mtoto kwa huyu, unajua at one time huyu mkulu alikuwa na kazi flani ya uthibiti wa mali za serikali under Mwalimu, yaani serikali ikitaka kununua anything big nje, ilikuwa lazima yeye ndiye aende kuhakiki kwanza ndio serikali ikubali kutoa mapesa yetu walipa kodi,

I mean, talking about ufisadi huyu ndiye hasa aliyeuanzisha, lakini anyways Mungu amuweke mahali pema peponi!


Ulitaka akahakikiki shangazi ama..maisha is all about star br kama hauna nyota utazikwa juya mtu kinondoni
 
KAMA BABAZENU AWAKUTENGENEZA MAISHA WAKIWA KAZINI AWAWEZI KUTENGENEZA MAISHA WAKIFUGA KUKU MAJUMBANI KIDERI KITAWAUA NA PFESHA ...NAMAANISHA WEQW KIJANA SUBIRI UTOKEKAZININDIO UTAJUA MAHARAGE N MBOGA WEKWNI SAWA MAISHA YENU MKIWANA NGUVU MTAISHIWA KULIWAKEZENU NAWAAHAKIKISHIA
 
Mkuu,

Hapo ndiko kumkoma nyani maanake huwa sometimes nachoshwa na watu wanaosifia marehemu hata kama alifanya mabaya.Ndiyo unafiki unaowafanya watenda maovu waendeleze uovu kwani wamajua wakifa wataitwa wasafi.

Safi sana mkuu.

Btw. Apumzike kwa amani
Ben uko wapi mkuu?
 
Uko wapi Ben saanane. ?
Mkuu,

Hapo ndiko kumkoma nyani maanake huwa sometimes nachoshwa na watu wanaosifia marehemu hata kama alifanya mabaya.Ndiyo unafiki unaowafanya watenda maovu waendeleze uovu kwani wamajua wakifa wataitwa wasafi.

Safi sana mkuu.

Btw. Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom