Kivipi yani?Mh! Huu wimbo.. Roma umekuwaje tena??!
Lutindi hiyo!Roma awahishwe mirembe au pale korogwe kuna kakituo! Wimbo gani huu!
Wimbo wa nani?Roma awahishwe mirembe au pale korogwe kuna kakituo! Wimbo gani huu!
Bongoflaver karibia inakufa kibuduaisee hili goma halifai naona hiphop ngumu wameanza kumuiga darasa
#k_ni_k#