Bg up JF....!!!

God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
210
Acha niseme kabisa, ninayo kila sababu ya kuisifu JF. Liwe ni wazo zuri au baya kila ninapoomba ushauri/mongozo nilipata majibu mazuri sana. Niliwahi kusoma thread ya mtu 1 aliyetoa ushauri jinsi ya kufanikiwa kwene biashara nikafanya hivyo nikafanikiwa. Kuna mtu aliomba ushauri wa kitabibu na alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa fulani, nikawa na mimi nina tatizo hilo hilo. Ushauri alopewa na mim nikaufatilia, leo hii nimepona ni mzima wa afya njema kabisa. Kwa ujumla mafanikio yangu ya maisha nimeyapata humu JF. Kwa nini nisiwamwagie sifa Jf?
 
...ndio maana wengi wako addicted na hii kitu inayoitwa JF pia ni buridani tosha kabisa. Unaweza kuingia hapa ukacheka pekee yako na screen :):) kama mtu akikuona atadhani uchizi unakuanza :):):) kumbe wanaJF wanakuvunja mbavu.
 
Ila umekumbuka kuichangia Jf, mkono mtupu haulambwi!
 
Mshukuru Mwenyezi Mungu aliyekupa utashi hata ukaweza kuyachukua mawazo ya wanajf na kuyafanyia kazi! Hongera sana mkuu!
 
hapa wengi ndipo tunapo chemsha..tunaona shida hata kuchangia kielfu 10..

anaye sababisha hayo ni invisible na painkiller;
:mtu anakuwa na tatizo lake binafsi akianzisha thread inatupwa kapuni.
:invisible ana ubaguzi.anaonyesha upendeleo wa watu baadhi na chuki kwa watu fulani.
:hapendi kukosolewa na anatumia madaraka aliyo nayo jf vibaya kwa kufanya atakalo bila kushirikisha wanajamii wakati wa ban
:hana msimamo.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom