Elections 2010 Beware, slow poison of religious bigotry is entering into Tanzania’s body politic!

mbona uanpindisha. wanumuogopa dk slaa, kwani waislam wengi wemeshtuka

MS hivi wewe ni Muislam kweli au unataka kuipaka matope dini hii? Wewe na wale wanaojilipua kwa Jina na Uislam una tofauti gani? Je unafikiri kwa kupandikiza chuki na kupingana na UKWELI ndio utaweza kuvutia wapiga kura au kuvutia watu waje kwenye Dini yako? Sidhani kama wewe kweli unawawakilisha waislam bali nakuona kama ni mtu unayetaka kuuchafua uislam.

UISLAM UNASIMAMIA UKWELI! Wewe Je!!
 
mbona uanpindisha. wanumuogopa dk slaa, kwani waislam wengi wemeshtuka
Malaria Sugu: Acha udini,kwani hautakusaidia,mimi nilifikiri unaipenda sana CCM,kumbe pia una udini wa hali ya juu,kwa sasa inakupeleka kwenda hatua mbaya ya ujinga!Hoja zako zitakuwa ngumu kuzijibu kwa kuwa inanilazimu niwe mdini na wakati huo huo niwe mwanasiasa!unaboa sana rafiki yangu!
 
Mkuu, naona umejitahidi sana kukwepesha ukweli uliopo ndani ya nafsi yako lakini hata hivyo umeshindwa kuiondoa shaka niliyonayo juu yako kwamba nawe ni mmoja wa waendekeza udini ndani ya nchi hii!

Mtu akisoma kwa makini, atagundua kwamba waislamu wanapinga kitendo cha Kakobe kusema aliyoyasema akiwa kwenye madhabahu! Vilevile pamoja na kujaribu kukwepesha ukweli uliomo ndani ya nafsi yako bado umeshindwa kuiondoa shaka yangu kwamba hata kauli yako kuhusu masheikh kuuunga mkono tamko la shimbo, umetaka kulihusisha na uislamu wa Shimbo na ndio maana masheikh walimpinga Kakobe(kwakuwa ni mkristo) na kuunga mkono hoja ya shimbo kwakuwa ni muislamu!!!!

Umeongea kwa hisia kali sana lakini ni hisia zilizoficha chembechembe ya udini ndani yake! Kama am wrong, then jaribu kunishawishi umeoanisha vp kati ya suala la Kakobe na Shimbo!
 
Jamaniiii eeeh nasikia kaharufu ka kumwagika damu nchini kwetu kwa mbaliiiiiiiiii, na hisia zangu zaidi zaenda kuwa chanzo ni udini ambao umeonekana kuwa juu sana mwaka huu.Eeeh Mwenyezi Mungu tusamehe na tuepushe na haya yote.
 
Dawa ya udini kwa sasa ni kumtoa JK Ikulu na kumweka Dkt Slaa ambaye anaweka maslahi ya nchi mbele na si maslahi ya kikundi kimoja cha dini! As simple as that! Otherwise, tusubiri kuiona Tanzania ikigeuka kuwa kama Somalia au Nigeria!
 
Siamini kama kuna sehemu nimezungumzia mapadri hapo! Nadhani kuna haja ya wewe kuisoma tena post yangu!!
Achana na huyu mgonjwa M. Sugu, nashangaa kwa nini watu huwa wanapoteza muda wao kusoma post zake za kiwendawazimu
 
Siyo kujiona ndio ilivyo. mnapoteza muda mwingi kwenye madaras na kuzaa kama kuku. Vifaranga zaidi ya 20 kichwa kimoja cha baba kitavipa elimu ya maana...zaidi zaidi madreva tu
Hayo ni matusi kwa waislamu ina maana kina prof haroub othan wao hakusoma dini yako (madrasa) shivji, jumanne maghembe, prof mtulia, dr gharib bilal, dr salim ahmed salim, prof lipumba, dr msabah, dr hussein mwinyi, prof kapuya na wengi wengineo.

Hao niliowataja kwa uchache hakupitia masomo ya dini yao? au mnapenda kutusi uislamu na waislamu? tutafika kweli namna hii?

Kuna waziri wa serikali ya mwanzo ya zanzibar marhum ali muhsin barwan yeye alisoma madrasa na kuhitimu akiwa na umri wa miaka kumi na mbili alikuwa hadhidhul quraan ( yaani alihifadhi quraan yote) ndipo alipo enda darasa la kwanza na kufika mpaka makerere. Ali Muhsin barwan ukimsearch kwenye google utaona data zake ni mmoja wa maulamaa na mtafsiri wa quraan kwa kiswahili.

Ipo siku kitaeleweka na matusi kama hayo mnayotutukana yataisha.
 
Hivi mbona tunapoambiwa tuchague kiongozi muadilifu issue ya udini inakuja? Kwani kuna mtu ametajwa kwa jina kuwa ndie muadilifu? Mimi nadhani hawa wakubwa wetu wanaoeneza propaganda ya udini sio waadilifu kwa hiyo wanaona kama ndio walengwa wa kutokuchaguliwa kwa mtazamo wa uadilifu.
 
Anaogopwa kikwete kwani wengi wamemstukia kwa sababu anawakumbatia waislamu kwa kuiweka hata kwenye ilani mamnbo ya mahakama ya kadhi na oic ambayo ni mambo ya kiislamu...........kikwete amewatiliza waislamu wasiwe na wasi kwani atawaletea mambo hayo kwa gharama yoyote........hiyo ni kwa vitendo ila kwa maneno slaa ndiyo mdini...............wakristo wamestuka janja ya waislamu kuanza kulalamika uongo wkt wao ndiyo wanaongoza propaganda za kidini nchini

Inaelekea umedhamiria sana kueneza huu upupu wako maana kwanza ulianzisha thread ukajibiwa mara thread ikaondolewa, sasa umeamua kuingia kila thread kuweka udini na uzandiki wako huu. Hivi kweli unaamini kuwa hizi desparate moves zitasaidia mgombea wako?

Kumbuka kuwa wenzia wana uwezo wa kusambaza upupu wa aina hii na mwengine mwingi kwa mamilioni ya watanzania kwa sekonde chache tu wakakuacha wewe upoteze muda wako hapa jamiiforum ambako kura zake hazifiki hata elfu tano....

Administrator huyu jamaa anaingia kila thread kuweka upupu wake. Naomba mrudishe ile post yangu niliyomjibu katika ile thread mliyoindoa ambayo aliianzisha kudai kuwa Kikwete ni mdini.

Lakini pia kwa kuwa ni wazi nia yake sio mjadala isipokuwa kueneleza mbegu za chuki walizopanda naamini ni vizuri yeye na wengine wa aina yake kufungiwa hadi baada ya uchaguzi. Lakini pia kuzuiwa mtu yeyote mwengine kujiunga na JF hadi baada ya uchaguzi ili ktowapa mwanya watu kama hawa kujiunga kwa identity zengine. Ni ushauri tu....
 
Hali ya udini hata hapa JF ipo lakini jambo la kushangaza sisi wote tunadhani udini ukikomaa tutasalimika. Hakuna jitihada za dhati za sisi wanaJF kujadili kwa kina namna ya kuepusha udini. Hapa JF hatuna kawaida ya kuvumiliana kidini, baadhi yetu tunabeza dini za wengine na pengine kuchambua mambo ya udini kwa lengo la kukashifu tukidhani tunaizaidia nchi yetu kuwa na amani. Moto tuuwashe wenyewe lakini ipo siku utatuunguza wote.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu iepushe Tanzania na vita ya Kidini.
 
Hapo ndipo mnapokosea ndugu zangu,ccm wanatumia hiyo nafasi kushinda na kama unafuatilia vizuri kampeni hizi utaona watu wamegawanywa ktk dini, ilivyo sasa dk. Slaa anaonekana ameletwa na kanisa hiyo ni kazi ya ccm.na hali itazidi kuwa mbaya tunavyoelekea mwishoni.
Inshort ccm wameshafanikiwa ktk mpango wao pia sisi members wa jf tunawasaidia ccm ktk mpango huo, swali dogo tujiulize kwanini ikifika maada inayohusu dini watu wanahamaki wajibishana vibaya bila ya kujadili hoja na kueleweshana vizuri tu.dini zote tumeishi vizuri na tunatakiwa tuendelee kuishi vizuri, tofauti ya mkiristo na muislamu wa daraja la chini kimaisha ninini ukiondoa tofauti ya kidini? Sidhani kama kweli dini zinatufikisha hapa tunapoelekea hata dr. Slaa na rais kikwete na wengineo wote hao wanahitaji kura iwe ya muislamu, mkiristo n.k
malumabano yanayotokea kati ya muislamu na mkiristo yanaathiri saaaana upinzania na demokrasia ya kweli kuliko ccm.
---kwa mtindo huo mnaoenda nao ccm wanaenda kushinda tena kwa kura nyingi sana.(ccm propagandist wanafanya kazi muda wote)
 
Masheikh makafiri kweli!...wanapinga siasa kuingzwa kwenye dini ila wanakubali dini kuingizwa kweneye siasa ndito maana wanailazimisha ccm iwawekee mahakama ya kadhi wkt wanajua hayo ni mambo ya kiislamu..............kwa niniu waislamu wanapotosha watz wa kuwadanganya kuwa kuna dini zinaingilia siasa kwa maneno tu yakupikwa wakati wao wanaingilia kwenye siasa kwa vitendo?.............
The Following User Says Thank You to Jile79 For This Useful Post:

Mchukia Fisadi (Today)​
 
Back
Top Bottom