Rosemarym Mwakitwange
Member
- Sep 10, 2016
- 63
- 170
Tangazo Muhimu, kuna Matapeli wawili wamejitokeza mmoja anaitwa Selina anatuambia Simu Namba 0655514088 jina lililiandikishwa ni Selina Michael. Yeye Ana mwenzake anaitwa Margaret Michael japo ni sauti ya kiume wanakupigia kutuambia habari ya biashara ya Shabu, https://www.jamiiforums.comakijidai wanatokea Tanapa Arusha. Naomba Tanapa washughulie jina Lao linatumika Na hao Matapeli bibaya