Nimepitia taarifa iliyotolewa na Mbowe kwa umma kuhusu maendeleo ya Lissu; Lakini ukisikiliza kwa makini utagundua kuwa Mbowe alikuwa anawasiliana na umma kwa ujumla pamoja na kupeleka ujumbe kwa watuhumiwa wa shambulio (Vyombo vya ulinzi na Usalama-kwa maelezo ya Mbowe mwenyewe).
Mambo mengi yalihusu umma ikiwa pamoja na kueleza kuwa mtuhumiwa no. moja ni vyombo vya ulinzi na usalama. Lakini hakuna mtu aliyetilia umakini kauli ya Mbowe pale aliposema " Hawa watu wanatabia ya kushambulia watu wakiona wale watu hawakuweza kuwaua kama walivyotegemea wanatabia ya kuwarudia tena kuwauwa, hiyo hofu imetukamata sana toka siku ya kwanza Dodoma"
Hisia ya kuwepo na Second attempt nilikuwa nayo ila nilisita kuandika mpaka pale niliposikia kauli hii ya Mbowe. Kauli hii imepuuzwa na umma na sijaona mjadala wowote juu ya kauli hii ila niko sure hii kauli itakuwa inawaumiza vichwa watuhumiwa na kuhisi kuwa kuna uvujaji wa taarifa au kuhofia umakini wa chadema hivyo kuendeleza mjadala jinsi ya ku-manage situation.
Kwanini kuwe na uwezekano wa shambulio la pili?
1.Tukio la shambulio la Lissu linaonekana halikuwa na baraka la vyombo vyote vya ulinzi, lilifanywa na kundi dogo ndani ya vyombo vya ulinzi hivyo kutekelezwa na watu wasio na ueledi wa kazi hizo-DAB na Zero wenzie.
Baada ya kushindwa, nafsi zinawasuta kuona hawamuwezi Lissu kwa kila kitu, watataka kurudia shambulio kudhihirisha umahiri wao...
2.Baada ya Lissu kupona wanapata tabu sana ku-manage situation huku Lissu akiwa mzima na wanahofu atakuja na nguvu zaidi hivyo kuwasumbua kwa ubora wa hali ya juu na kwa muda mrefu......Hapa kuna uwezekano wa kukusanya nguvu na mpango ukapata baraka za vyombo vyote, hivyo Second attempt ikafanyika kwa umakini mkubwa kwa kutumia Sniper nk.....
3.Pia kuna uwezekano wa kufanya second attempt kwa kutumia njia ya kuudhoofisha mwili wa Lissu taratibu au kwa haraka...........
NB:
Ni dhahiri pia shambulio hili lilipangwa kufanyika mchana ili kuogofya watanzania pia na ndiyo maana hawaku-opt njia ya kificho kama kutumia mda wa usiku au sumu nk. na yote haya yanawezekana kwasababu kuna hali ya kutojali lolote yaani liwalo na liwe ili mradi Lissu asiwepo duniani, kwani maadui wa Lissu wamegeuza hoja zake kuwa personal issue hivyo wanachuki ya moyoni na siyo issue za usaliti kama inavyotangazwa, kwa dhana hiyo nadhani unajua waliokusudia wanavuyojisikia sasa hivi, yani wako demoralized na kujiona dhaifu mno kitu ambacho hawatakikubali kuishi nacho huku wakiwa na mamlaka yote......
Kwa nini Mboe atoe hii kauli ambayo ni ujumbe wa moja kwa moja kwa wahusika?
1. Je chadema wameshanusa mpango wa shambulio la pili?
2.Je ni hisia tu na ametumia kama kuwa-prempty mipango ambayo Chadema wamehisi inaweza kutokea?
Hitimisho
Lissu amtegemee Mungu zaidi katika utawala huu,namwombea apone haraka.