Betting addiction: Watu wanafanyaje ili kuacha kubet? Mwanetu anaelekea kupotea zaidi ya hapo

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
440
500
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.Ni jinsi gani naweza kumshauri mtu namna ya kuacha kubet maana ameshaliwa Sana karibia mil 2 na zaidi lakin hakomi na akili yake anawaza huenda huko mbeleni atakuja na yeye ale.yeye mwenyewe anatamani kuacha lakini anashindwa anatamani msaada wa watu karibu unakosekana .

Nimejaribu kumwambia hizo kampuni za kubet sio kwamba hawana akili watoke wanakotoka waje huku wavunwe wao wapo hapa nchini kwa ajili ya kuwavuna watu kama nyie ambao mna tamaa na hela za bwerere wao wanalipa kodi serikali wanakodisha maeneo yanayovutia sehemu zao zile Zina tv ukuta mzima alafu ww kweli uje kuwala hela ya maana ?

Utaishia tu kula hizo elfu 10 hadi laki lakin ona sasa unaliwa hadi mil 1? Au wale wenye makampuni ya kubet wanaroga mtu uwe na arosto ya kubet?

How come mwanafunzi wa chuo unabet hadi hela ya accomodation na stationery.?
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,128
2,000
Acha tuu sii wengine tumeeuza vitu ndani ndio nikaona eeeh hii blaaaa ila bwana unapumzika kwa muda tuu baada ya hapo unarudi tena ....
 

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,415
2,000
Inabidi nao waandike "onyo mchezo wa kubet ni hatari kwa maisha yako" kama sigara walivyoandika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom