bettery za laptop

nxon

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,162
406
ni matumizi gani sahihi unapotumia laptop yako ili kumentain life ya bettery:-

1- utumie wakati umeiconect charger?

2- wakati hujaconect charger?
 
Watu wengi hawaelewi ni nini maana ya laptop wanafikiri ni kama dvd player au media instrument

Maana halisi ya battery ya laptop ni kukusaidia kuitumia wakati upo sehemu ambayo haina umeme au kuwahi kuhifadhi data zako bila kupoteza pale unapokatika umeme na unapoitumia kwa umeme inajuwa na kukunyesha wakati huu inatumia nishati gani hiyo basi jaribu kuepusha matumizi ya laptop yako kupigia sana DVD wakati unaitumia na battery
hii itasaidia maisha ya battery yako otherwise utaimaliza haraka sana
 
unaweza kupunguza mwanga pia ktk screen ili kuongeza mda wa kufanya kazi wakati unapotumia battery
 
Kama unatumia muda mrefu..tumia ukiwa umeconnect kwenye umeme, kwa kufanya hivyo battery yako itakuwa katika hali ya kuhifadhi power vizuri kwa muda mrefu..(years)
 
inakuaje kwe wale wanaosema utoe bettery utumie adapter pekeyake?
 
inakuaje kwa wale wanaosema utoe bettery utumie adapter pekeyake?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom