SoC01 Better education system for better development of the country and success to every citizen individually.

Stories of Change - 2021 Competition

Creed

New Member
Jul 13, 2021
1
1
1:ELIMU DUNI YA TANZANIA

What is education?? Is the process of facilitating or the acquisition of knowledge, skills,values,morals,beliefs and habits!!so my betlief ni lwamba elimu ipo in different ways ila the main point is to increase the knowledge, skills,values,morals,belief and deep understanding on a certain thing.

Elimu ya taifa letu la tanzania bado ipo katika level ya chini katika ugawaji wa elimu bora,bado elimu ipo katika zama za kale na inazidi kutudumaza sisi the next generation.(lets go straight to the point)

Tunasoma miaka saba from darasa la kwanza hadki la saba,tunasoma masomo takribani kumi na moja (11)masomo ambayo mengine hatukuja kuapply tulipofika 0 level na katika kipindi chote hicho cha miaka saba kitu kikubwa tunachojua ni kusoma,kuandika na kukariri kila kitu tunachofundishwa.

Kuanzia form one (1) hadi four (4) tunafundishwa mambo mengi tofauti tofauti (in which its a good thing) but katika mambo hayo (masomo) kuna wanafunzi wanapata interest kwenye baadhi ya masomo ambayo wanahisi ni suitable kwao lakini wanashindwa kufunguka kutokana na mazingira ambayo walimu wao wameyatengeneza MFANO:mwanafunzi anapata interest kwenye masomo ya arts lakini anaendelea kufosi kusoma science(masomo ambayo hana passion or interest nayo) na anaendelea kufosi kwa sababu tu ya ile psychology/concept/mindset ilivyowekwa na walimu ya kwamba art ni masomo ambayo hayana soko and ni masomo ambayo hayachukuliwi serious hivyo humpelekea mwanafunzi kusoma kitu ambacho hana passion nacho na mabacho hakipendi kwa sababu ya kuogopa mtazamo wa jamii nzima ya shule.Na hiyo inaweza kuleta madhara kama vile;

1: Anaweza kufeli or anaweza kufaulu lakini mwishowe hata akija kuwa daktari au mwandisi hatoweza kufanya kazi yake kwa ufanisi na ubora zaidi kulingana na yule aliyesoma na ana passion nacho.2:Anaweza asiwe na furaha katika kazi yake na maisha yake kwa ujumla kama vile msemo usemao "work isnt work if you love it" inamaanisha if you love it you are going to end up working for something you are not happy to do.

Pia katika kipindi cha 0 level still tupo katika kipindi cha ukuaji (adolescence)kwa hiyo kuna mambo mengi kama vijana hatujatambua na tunahitaji muongozo ulio sahihi na salama katika maisha yetu.Mara nyingi katika shule zetu pale mwanafunzi anapokosea njia na kufanya kitu ambacho hakikuwa sahihi basi walimu hutumia hiyo nafasi kwa kuwapondana kuzidi kuwadidimiza na kuwapa adhabu kali,hii humfanya mwanafunzi kujiona kama ni failure na pia kuwa disappointed over him/her self na pia anaweza kujiskia mpweke since baadhi ya wanafunzi wenzake wanaweza kuanza kumjudge na kumtenga na hii yote ni kwa sababu ya mtazamo wa walimu au mwalimu aliouweka juu ya huyo mwanafunzi kutokana na kosa lake.

Unaweza kukuta kuna mwanafunzi mwenye uwezo wa darasani lakini suddenly akaanza kufanya vibaya ba hapo ndipo walimu huanza kusema hili n lile ambayo technically sio maneno mazuri hivyo basi walimu inawabidi kujaribu kuweka mahusiano ya karibu na wanafunzi wao na kujaribu kuongea nao,kuwaelewa,kuwaweka katika barabara iliyo sahihi,na ninajua sio rahisi kwa walimu pia lakini wao ni nguzo kubwa na imara kwetu wasipo simama kwa ajili yetu sisi basi tutakosea mengi.

TUTAFAKARI

Average range ya mtu kufanikiwa Tanzania ni miaka arobaini (40)..kwanini??ni kwa sababu ya mda mwingi tunatumia katika kusoma elimu ambayo bado haiko organised, Wanatuambia tusome ili tujiajiri,je kwa elimu hii tuliyopewa ambayo ina tulemaza akili,elimu ambayo inakataa creativity, elimu inayo criticize arts, elimu ambayo unasoma ili kupata profession itakayo kidhi kipato kikubwa ch kifedha.Tutawezaje kujiajiri wenyewe wakati hakuna passion in what we've studied,we have no passion in what we do!!

We lack creativity,we lack vision ,we lack passion na hivo ni moja ya vitu ambavyo vinaenda sambamba na mafanikio.Ukiangalia nchi yetu still tupo nyuma kimaendeleo and and still tunategemea vitu vingi kutoka mataifa ya nje na sio kwamba wao ni wana akili kuliko sisi ,HAPANA!!Bali ni elimu na mazingira waliyotengenezewa na ni mazingira hayo hayo ambayo tunayahitaji sisi kwa mabadiliko ya Taifa zima.

HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI aliwahi kusema "nchi hii ni tajiri" na hiyo ni ukweli ..je ni kwanini hatujaendelea mpka now??Moja y sababu kubwa ni mfumo mzima wa elimu tunayopewa,since ni elimu ambayo ina excrude creativity na inafosi watu kuwa vitu ambavyo sio basi ndo mana kuna vijana wengi mtaani na wamesoma vizuri tu wengine udaktari lakini wapo mtaani kwa sababu hawana ile akili ya ucreativity since walisoma kitu bila kujua passione yao na uwezo wao upo wapi.

Hata ivyo kuna waandisi na madaktari baadhi ambao wamebahatika kupata nafasi za kazi lakini hawapo good katika kazi zao kwa sababu ya kusoma vitu ambavyo hawakuwa na passion navyo,na pia kusoma kwa ajili ya jinsi mtazamo wa jamii ulipo na kuacha your dream and vision on what you want.

JUST IMAGINE
If serikali ingeanza a project now kuhusu uboreshaji wa elimu yetu kwa maendeleo ya badae(the next generation)basi hakika kwa siku zijazo mbeleni Tanzania inaweza kuja kuwa nchi kubwa na yenye maendeleo ya nchi na wananchi wake individually.
So how can we achieve that.....First serikali inatakiwa kuanza n mafundisho wapewayo walimu wetu,walimu wanatakiwa kupewa njia mpya za ufundishaji wakiwemo machuoni,wafundishwe jinsi ya kudeal na wanafunzi(in which its not easy),wafundishwe jinsi psychology ya mwanafunzi ilivo ili iwe rahisi kwake kudeal nao!!in short it all starts with providing a deep/unique/professional education to teachers on how to teach/deal with their students.

You might be asking yourself why nasema it starts with the teachers,well they play a major part in our life kwa sababu asilimia kubwa ya maisha ya mwanafunzi ni shule kwa hiyo walimu technically huwatambua zaidi na vizuri wanafunzi wao na mtazamo wao ndio unaoweza kuwajenga au kwabomoa(as i explained earlier).Also Tanzanian teachers should be able to know the characteristics that makes a good reasonable teacher since nahisi they lack the knowledge on that and forget themselves as they keep mistreating students by violence, discrimination an disrespect...therefore a great teacher should

1: RESPECT STUDENTS
in this way kutakuwa na understanding nzuri darasani kati ya mwalimu na wanafunzi hata ivo these days walimu wanakuwa na tabia chafu ya kutembea na wanafunzi wao hasa hasa walimu vijana wa kiume(not all) na kupelekea kupungua kwa heshima kati ya mwalimu na darasa kwa ujumla.

2:pROVIDE HIGH EXPECTATIONS FOR ALL STUDENTS
no student deserves to achieve less,we all are unique and special in different ways and we all can achieve greatness..but some of teachers these days huwakatisha tamaa wanafunzi kwa kudhani kuna wanaoweza zaidi ya wengine vivid example ni the way students wanaosoma masomo ya arts jinsi they are treated is not equal to the science takers.

3ROVIDE CONFIDENCE TO THE STUDENTS
mwalimu anatakiwa kutoa uaminifu wa kutosha kwa kila mwanafunzi kwa sababu mtazamo wake unaplay a major part,walimu wengi huwa wana wacrush wanafunzi kwa maneno ya kukatisha tamaa pale wanapofeli or wanapokosea,hivyo basi walimu wanatakiwa kuprovide sense of confidence and belief to their students.

4:MAINTAIN PROFESSIONALISM
Mwalimu anatakiwa kuwa professional akiwa kazini asifanye makosa ya mwanafunzi yawe personal,asiwe na mabifu yasiyo ya maana,asifanye chochote ili kumkomoa yule mwanafunzi kwa kuwa hapo hatokuwa professional.

THE FOLLOWING ARE SOME ADVICES/OPINIONS/CONTRIBUTIONS FROM STUDENTS WHO FINISHED THEIR STUDIES AGES AGO FROM (2000-2021)
1:DOMINA BASIL(student from SUA university 2019)
"The education should be more practical, many of us students we lack experience on what we've studied therefore we end up not knowing not to do"----domina

2:FADHIL KUNGULILO(student from MZUMBE university 2018)
"Provide social education,things that apply in life apart from just school subjects physics/chemistry/biology "--fadhil

3:SOLOMON TCHACHA(Teacher in MOROGORO INTERNATIONAL SCHOOL)
"provide edual mindset to the students that either science or arts or business you should follow where your heart feels you belong"

4:GENUINE BASIL(a self taught programmer)
"Allow creativity more in schools"

5:BEATUS LEVERIAN(future engineer)
"There should be new ways of punishment which zitamjenga zaidi mwanafunzi such as kung'oa visiki,more school assignments,exams,or kulima"

You see kuna watu wengi ambao wameshamaliza masomo ya chuo na wanatamani wangepata muongozo mzuri kwenye elimu yao ,wanatamani wangejua jinsi ya kutinza mda wao,wanatamani wangefata passion zao,wanatamani wangepewa muongozo mzima wa maisha katika jamii zao pia ili kuepukana na vishawishi na changamoto tofauti tofauti;Nakumbuka nlikutana na mwanafunzi wa chuo cha IAA arusha njiro,alinikutanikisoma kitabu cha imitation is limitation aliniangalia sana na kufurahi kisha akasema kwa sauti ys kusikitika akisema "natamani ningejua umuhimu wa kusoma vitabu mapema" hii ni kutokana na elimu yetu na kutokuwa na muongozo thabiti na kuishia darasani tu,ningependa wanafunzi wajue kwamba education is everywhere not just in schools,Therefore students wanatakiwa kufind interest kweny vitu wavipendavyo,waruhusu passion na creativity itawale vichwani mwao ,kwani kwa sasa ni moja ya vitu tunavyovihitaji.

Someone once said "ukianza kukariri basi ujue ushafeli"ni kweli mana ukiangalia nchi hii katika swa zima la elimu haiko vizuri at the same time elimu bora ndo mkombozi wa nchi hii basi baadhi ya njia za kufundisha na mitaala ibadilishwe for the better future of Tanzania ..serikali kama serikali ingeanza na hiyo better education program for the better future of our next generation,i guarantee itakuwa a life changing kwa both nchi na watanzania wote kwa ujumla.

My theory is:"BETTER EDUCATION SYSTEM FOR BETTER DEVELOPMENT OF THE COUNTRY AND SUCCESS TO EVERY CITIZEN INDIVIDUALLY."

Lastly i wrote all of this not only nataka kushinda but also hili swala lisikike lisiishie jamii forums tu ,lijadiliwe,na limake a difference in our country, bacause we really need new ways of teaching , we may build majengo mapya everyday, barabara mpya, reli za mwendo kasi lakini kama hakutokuwa na change in our mindset basi hata ivo vitu havitodumu, vitaishia kuteketea na kupotea so IT STARTS with CHANGE, with US tanzanians, it start with our EDUCATION.

yours
prof creed.
 
Very true, though post n ya kitambo kidogo bt leo nmeipitia na kugundua fact moja apa. Alikiba alitoa wimbo wa aje 2016. Kama ulivyotabiri Lara 1ktk thread yako , kuwa aje itampeleka next level mzee ali , that's was very true, jmaaa alibeba tuzo BEST AFRICAN ACT AWARD ambayo mwanzon alipewa Wizkid kimakosa, then akarudishiwa allykiba.
Binafsi, niliipenda ngoma ile ktk version hii
 
Attachments

  • AJE ( 128kbps ).mp3
    2.9 MB
  • AJE Remix ( 128kbps ).m4a
    3.1 MB · Views: 6
Back
Top Bottom