jameszejie
Member
- Jun 26, 2016
- 17
- 3
Hellow wanajamvi natumaini mko vizur,Naombeni msaada kwenu nina computer yangu Asus mwanzoni betri nilikua nikiichaji ilikua ina uwezo wa kukaa masaa manne lakin saizi naichaji inaonyesha inajaa hadi kufika asilimia 100 but nikiichomoa charger tu pc inazma sasa cjui tatizo nn cos haijanionyesha hata ule mkasi mwekundu kwenye icon ya betri ikimaanisha kuwa betri mbovu Naomba msaada tafadhar wa JF