Betry ya pc yangu inaonyesha inachaji but nikito charger tu inazima

jameszejie

Member
Jun 26, 2016
17
3
Hellow wanajamvi natumaini mko vizur,Naombeni msaada kwenu nina computer yangu Asus mwanzoni betri nilikua nikiichaji ilikua ina uwezo wa kukaa masaa manne lakin saizi naichaji inaonyesha inajaa hadi kufika asilimia 100 but nikiichomoa charger tu pc inazma sasa cjui tatizo nn cos haijanionyesha hata ule mkasi mwekundu kwenye icon ya betri ikimaanisha kuwa betri mbovu Naomba msaada tafadhar wa JF
 
Kuna short katika betry charge control ic,
 
Back
Top Bottom