T traveller18 Member Jun 16, 2017 27 2 Jun 22, 2017 #1 Habarini wana jukwaa, naomba kuuliza bei ya betri ya pc aina ya dell
Williedm JF-Expert Member Nov 30, 2011 505 138 Jun 22, 2017 #3 traveller18 said: Habarini wana jukwaa, naomba kuuliza bei ya betri ya pc aina ya dell Click to expand... ungetaja na model ungekua poa, ila kwa kawaida kuanzia 60k kupanda
traveller18 said: Habarini wana jukwaa, naomba kuuliza bei ya betri ya pc aina ya dell Click to expand... ungetaja na model ungekua poa, ila kwa kawaida kuanzia 60k kupanda
mind ur bussness JF-Expert Member Dec 15, 2016 1,050 739 Jun 22, 2017 #4 Betri ya pc mpya gharama yake ni tsh90,000/= hadi 100,000!= pale kariakoo... Mm nmenunua juz tu la hp tsh 90,000/=.
Betri ya pc mpya gharama yake ni tsh90,000/= hadi 100,000!= pale kariakoo... Mm nmenunua juz tu la hp tsh 90,000/=.