Betri gani ya gari ni bora zaidi dry cell?

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,247
Wakuu habarini.

Naomba kujua betri gani ya gari dry cell ni bora zaidi maana naona zipo nyingi kama atlas,top power na led exide.
Msaada wakuu kabla sijaingizwa mjini.
 
Mkuu,ili betri tujue ni bora ni lazima itumike miezi au miaka mingapi?Nashindwa kutoa ushauri japo mimi natumia Top Power na ina mwaka sasa.
 
Back
Top Bottom