Betraim Mwombeki wa Simba SC kwa nini hayupo Timu ya Taifa?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Timu yetu ya Taifa Tanzania bara kwa sasa iko katika mashindano ya kombe la Chalenge nchini Kenya.. timu imecheza na Zambia imeonyesha uhai kidogo ambao kama ungeongezewa baadhi ya wachezaji timu ingelikuwa bora zaidi hasa katika katika idara ya upachikaji mabao na ushambuliaji.. inakumbukwa wakati mchezaji Mwaikimba alipokuwa Taifa Stars na ilipoenda kule Senegal vyombo vya habari na wapenzi wa soka walikuwa na hofu naye na kusababisha awekewe ulinzi mkali.......sababu ya umbile lake... hivi Betraim Mwombeki kweli hastahili kuitwa katika timu ya Taifa ili asaidiane na akina Ngassa, Samata Ulimwengu na hao wengine? binafsi naamini Mwombeki akiitwa stars atakuwa msaada mkubwa na tishio kwa mabeki wa timu mbalimbali
 
mwalimu anaangalia vigezo vingi pilau,washambuliaji wapo wengi,pia hata bahati inachangia,nikupe mfano miaka ya 2000 kuna namba moja ilikuwa na wachezaji watatu winga ya kushoto ambayo alikuwa Edibily Lunyamila,Dua Said na Victor Kilowoko hawa wote viwango vyao vilikua juu sana huyu wa kwanza alikuwa yanga,wa pili alikuwa simba na wa tatu alikuwa prison ya mbeya,lakini miaka yote walipo itwa kilimanjarostars,aliyekuwa chaguo la mwalimu ni Lunyamila na hata wachezaji wenyewe walikuwa wanarizika mkuu kwa usijali mwombeki atachukuliwa muda mwingine.
 
Pilau, sbir kwanzaMwmbeki awe tishio ka mabeki wa timu za Tanzania ndio aweze kupata nafasi ya kwenda kujaribu kuwa tishio kwa mabeki wa timu za mataifa mengine
 
Mwombek mzuri pia ana kash kash lakini kdogo ana tatizo la uraia nadhani, hiki ndio kikwazo lakin hata kim polsen pia anamtamani.
 
Lile garasa la Maharage fc a.k.a Mikia likacheze wapi hata control ya mpira halina zaidi ya butua butua tu!
 
Kwa mpira upi? Kwenye VPL kafanya nini ili aitwe? Nafasi haifungwa hata hivyo akifanya kweli ataitqa
 
mwalimu anaangalia vigezo vingi pilau,washambuliaji wapo wengi,pia hata bahati inachangia,nikupe mfano miaka ya 2000 kuna namba moja ilikuwa na wachezaji watatu winga ya kushoto ambayo alikuwa Edibily Lunyamila,Dua Said na Victor Kilowoko hawa wote viwango vyao vilikua juu sana huyu wa kwanza alikuwa yanga,wa pili alikuwa simba na wa tatu alikuwa prison ya mbeya,lakini miaka yote walipo itwa kilimanjarostars,aliyekuwa chaguo la mwalimu ni Lunyamila na hata wachezaji wenyewe walikuwa wanarizika mkuu kwa usijali mwombeki atachukuliwa muda mwingine.
Kamanda Dua Said na Lunyamila miaka ya 2000 khaaa, wale ni wa early 90s' mpaka mid 90s' yaani kuanzia 1990 hadi 1995 au 1996.
 
Mkuu Lunyamila usimchukulie poa, nimemwona uwanja wa Uhuru kipindi hicho uwanja wa Taifa msimu wa 2002/2003 wakati huo yuko Simba, ingawa alikuwa ameshachuja, kwahiyo hakuishia 1996 kama unavyosema.
 
Hivi Wewe Una Kocha wa Timu Ya Taifa au Una Shoga tu? Kwa Kocha Mwenye Akili Kamwe Hawezi Kumwacha Betram Mwombeki ,Mbelwa kwani Ana Kila Kitu Ambacho Foward Anatakiwa Kuwa Nacho.
 
Angekuwepo Bongo? Hebu acha ushabiki usio na maana. MManeno ya kipuuzi kama haya yalisababisha tukamkosa Maximo. Huyo mwombeki kikosini penyewe hana namba ya kudumu. Makocha wake wamegawanyika juu ya uwezo wake, halafu wewe unataka akafanyiwe majaribio stars. Wacha hizo bana.
 
Makocha gani Hao Wanaogawanyika Juu Ya Mwombeki? Huyo Mende Kibaden na Mmendewa Julio? Hivi Wewe una Timu Ya Taifa au TAKATAKA tu?
 
Back
Top Bottom