BETHIDEI ya EL

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
Leo aliyekuwa waziri mkuu bwana Edward Lowasa anatiza miaka mitatu tangu aachie ngazi/ajiuzulu uwaziri mkuu.
 
ingawa ni mwizi lakini mi naukumbuka utendaji wake wa kazi. nchi hii inatakiwa kiongozi mkuu awe dikteta ndiyo ataiweza. mfano angalia Rwanda na Uganda - wanasonga sababu hiyo hiyo.

Wakuu wa wilaya kwa sasa wanakula bata tu, ila enzi zake kuna baadhi yao walitaka kuacha kazi.

Hepi basidai EL, wa TZ kuna siku watakukumbuka tu.
 
Wa TZ bwana wanafiki leo wanasema hiv kesho vile haya
 
Back
Top Bottom