Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,149
- 27,165
Huyo maria hajapata mshedede wa maana, ndio maana unaona hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliombwa lini kura?Ukishirikiana na Shetani utajuta , ushirikiane na watekaji halafu kura utuombe sisi !
Ishu Rangi yake au..maana Ivo nishaona wanavaa tuUshamuona mmasai wa kiume anavaa ivyo?
Mi sio mshabiki wa diamond ila huyu dada is useless...like serious TZ kuna wanaharakati maandazi kwaio wanadhan ujinga wao waliokuwa wanapost umewezesha burnboy kushinda na sio diamond haha....unamshaur mtu awatoe managers ambao wamemfikisha hapo alipo baadala yakusema hata waongeze nguvu kutoka kwa watu wa mataifa ili kijana aweze kupenya ukoWapenzi wa daimondi mbona huyu dada kajielezea poa tu, shida wabongo kukiwa na critisism huwa tunakimbilia kujitetea badala ya kuchukua ujumbe uliopo
fanyieni kazi mawazo ya watu ipo siku yatawasaidia. Acheni kujitetea bila kutafakari
Mimi naona ametoa ushauri wa maana lkn chawa hawataki boss awe msafi kwani makazi ya chawa ni palipo na uchafuKwani hiyo heshima ulimpa wewe? Chawa mnateseka sana.
Fuatilia vizuri mkuu utaelewaIshu Rangi yake au..maana Ivo nishaona wanavaa tu
Chamsingi wazungu hawajamuona fala wa kuwaiga uamaduni that's allFuatilia vizuri mkuu utaelewa
Hata mimi nimeshangaa! Mtu katoa ushauri, kama anaupokea sawa! Na kama anaukataa pia ni sawa! Hasira za nini sasa, kisa tu kushauriwa?Wapenzi wa daimondi mbona huyu dada kajielezea poa tu, shida wabongo kukiwa na critisism huwa tunakimbilia kujitetea badala ya kuchukua ujumbe uliopo
fanyieni kazi mawazo ya watu ipo siku yatawasaidia. Acheni kujitetea bila kutafakari
Wamasai wapo Hadi japani na sio wabantu mkuu ili aonekane mswahili labda angevaa kama wale wa MBEYA wasafwa
Yote yanawezekana ndio maana nikashauri badala ya kupinga kila kitu watu wajipe nafasi watafakari critismsMi sio mshabiki wa diamond ila huyu dada is useless...like serious TZ kuna wanaharakati maandazi kwaio wanadhan ujinga wao waliokuwa wanapost umewezesha burnboy kushinda na sio diamond haha....unamshaur mtu awatoe managers ambao wamemfikisha hapo alipo baadala yakusema hata waongeze nguvu kutoka kwa watu wa mataifa ili kijana aweze kupenya uko
Msimbe kivipi, mbona tunaambiwa Tsehai ni mumewe?Wewe nae taahira.
Unakaa kabisa unasikiliza huyo msimbe anayetanga tanga huko twitter?