BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,595
2,000
Kilichosababisha afeli mara ya kwanza na ya pili ni nini ilhali alikua na support ya wote.?? Hao watu mi naona kama hawajielewi aisee sijui kwanini hizi tuzo wamezipeleke kwenye mlengo wa kisiasa.
Nigeria wametuacha kimuziki hata hiyo ya diamond kua upande fulani sio sababu kabisa.
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,219
2,000
Wapenzi wa daimondi mbona huyu dada kajielezea poa tu, shida wabongo kukiwa na critisism huwa tunakimbilia kujitetea badala ya kuchukua ujumbe uliopo

fanyieni kazi mawazo ya watu ipo siku yatawasaidia. Acheni kujitetea bila kutafakari
 
emmanuel mruma

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,575
2,000
Wapenzi wa daimondi mbona huyu dada kajielezea poa tu, shida wabongo kukiwa na critisism huwa tunakimbilia kujitetea badala ya kuchukua ujumbe uliopo

fanyieni kazi mawazo ya watu ipo siku yatawasaidia. Acheni kujitetea bila kutafakari
Mi sio mshabiki wa diamond ila huyu dada is useless...like serious TZ kuna wanaharakati maandazi kwaio wanadhan ujinga wao waliokuwa wanapost umewezesha burnboy kushinda na sio diamond haha....unamshaur mtu awatoe managers ambao wamemfikisha hapo alipo baadala yakusema hata waongeze nguvu kutoka kwa watu wa mataifa ili kijana aweze kupenya uko
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
5,418
2,000
Fuatilia vizuri mkuu utaelewa
Chamsingi wazungu hawajamuona fala wa kuwaiga uamaduni that's all

Screenshot_20210628-161242~2.png
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,283
2,000
Wapenzi wa daimondi mbona huyu dada kajielezea poa tu, shida wabongo kukiwa na critisism huwa tunakimbilia kujitetea badala ya kuchukua ujumbe uliopo

fanyieni kazi mawazo ya watu ipo siku yatawasaidia. Acheni kujitetea bila kutafakari
Hata mimi nimeshangaa! Mtu katoa ushauri, kama anaupokea sawa! Na kama anaukataa pia ni sawa! Hasira za nini sasa, kisa tu kushauriwa?

Ameambiwa asiwakumbatie chawa maana wanampotosha, aachane na meneja wake na pia aache mambo yake ya kujihusisha na siasa za moja kwa moja za mlengo fulani huku akiwa na mashabaiki wa milengo yote!

Mtoa mada huenda akawa ni chawa au meneja wa huyo Diamond! Maana siyo kwa hili povu!!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,219
2,000
Mi sio mshabiki wa diamond ila huyu dada is useless...like serious TZ kuna wanaharakati maandazi kwaio wanadhan ujinga wao waliokuwa wanapost umewezesha burnboy kushinda na sio diamond haha....unamshaur mtu awatoe managers ambao wamemfikisha hapo alipo baadala yakusema hata waongeze nguvu kutoka kwa watu wa mataifa ili kijana aweze kupenya uko
Yote yanawezekana ndio maana nikashauri badala ya kupinga kila kitu watu wajipe nafasi watafakari critisms

Vipi ikiwa uwezo wa mameneja umeisha kumpaisha kufikia hapo alipofika na si zaidi? unaweza kuwa na kocha akakutoa daraja la 4 ukaingia ligi kuu ila uwezo wa kocha ukawa unaishia hapo na hawezi kushindana na timu zingine za ligi kuu (Uwezo mdogo), hili unalionaje mkuu? Hudhani pengine uwezo wa mameneja wake ulikuwa kumuwezesha kupambana na kina Ali Kiba na Clouds FM sasa inapokuja kushindana na kina Burnaboy unahitaji nguvu kubwa zaidi za kimeneja?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom