Best yangu ni shoga

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Nilisoma na mwanaume mwenzangu bording A level alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.
Nimekataa anadai anahamu na atakuja tena weekend hii.
Jamani nishaurini nimfanyeje? Namueleza madhara hanielewi!

Maelezo yako kama unataka vile,na jambo la mtu kama huyo nilakuliza kweli ?Kama ni rijali kamili huwezi kutaka ushauri wa jambo hilo jibu lake unalo mwenyewe.....

Nilisoma na mwanaume mwenzangu bording A level alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.
Nimekataa anadai anahamu na atakuja tena weekend hii.
Jamani nishaurini nimfanyeje? Namueleza madhara hanielewi!
hapo kwenye red inadhihirisha ushampumulia mwenzio kisogoni..............na aje kulala kwenu ili iweje?hana kwao

Next time akikujia ujue atakugeuzia kibao, kuwa makini anaweza kukutafuna... Usimkaribishe tena..

Ukitembea na Gay nawe unaweza kugeuka...

Iweje ushindwe kusimamia kauli zako au kakuahidi Maisha? Wake up Men!

Tatizo ni lako na sio lake. Yeye anajielewa kuwa ni shoga, wewe hujijui ndio maana umekuja kutaka ushauri hapa.
Lakini nililotaka kusema hasa, kwa nini hatuwawachi hawa watu na chaguo lao? Kuwakataa, kuwatenga na kuwabagua hakuwezi kuwabadilisha. Ama tunawacha kuwanyanyapaa au angalu tunawawacha wanaishi kama walivyo.

....alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.ana hamu na atakuja tena weekend hii.
..ila mimi sijamduu -hapa inaonesha unajutia kutomduu wakati ule
..tumelala anaomba nimfanye -hawezi omba umfanye kama anafahamu hutaki
..ana hamu atakuja tena -hawezi kuja kama ulikataa kumduu kwahiyo ulimduu na ana kuja tena muendelee. THREAD CLOSED.

Maelezo yako yana utata, kwani huwezi kutumia akili yako ukaongeza na akili za jf members then ukaamua, hata mimi sina imani na wewe.

Nilisoma na mwanaume mwenzangu bording A level alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.

Nimekataa anadai anahamu na atakuja tena weekend hii.

Jamani nishaurini nimfanyeje? Namueleza madhara hanielewi!

na wewe ni shoga tu, sema unatafuta namna ya kujitangaza, na ndio maana hata mlipolala wote ulishindwa kumtimua

Nilisoma na mwanaume mwenzangu bording A level alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.
Nimekataa anadai anahamu na atakuja tena weekend hii.
Jamani nishaurini nimfanyeje? Namueleza madhara hanielewi!
Ni walewale... Chumba chako kikiwaka moto usihangaike kuzima, njoo uombe ushauri JF kwanza !!!

Nilisoma na mwanaume mwenzangu bording A level alikuwa ni shoga maarufu.ila mimi sijawahi kumduu.juzi amekuja kwangu tumelala usiku anaomba nimfanye?.

Nimekataa anadai anahamu na atakuja tena weekend hii.

Jamani nishaurini nimfanyeje? Namueleza madhara hanielewi!

Mbona maelezo yako yanamashaka sana aisee. Mlaji nae huliwa.Mlavyawenzie na vyake piwa huliwa?.Wew sema unaomba ushauri kwa wana jf wakushauli kwakuwa sasa hivi unataka kuacha hako kamchezo kakumpumulia mwenzio kisogon........suala kama hilo halihitaji hata kushauriwa wew mwenyewe lazima uwe na msimamo wako. ok! kama wana jf wakikushauri udoo??. achakutuzingua yaani inaonesha nikiasi gani kuwa hako ni kamchezo kako hujaona hata aibu kuandika na kutuzuga na kuomba ushauri...Hiv hilo shoga nalenyewe siku likikuomba utakataa?..Au na wew tayali ushatafunwa

Anahammmmmm!?inamaana ulishamwonjesha khaaaaaaaaa! Walah nachkia majitu ya aina yenuuu?v!!!!! .,*@*a* mnastahili kutiwa vitanzi hadharani pumbavvvvvvvvvvvvvvvv

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom