Best Wishes All Form IV Candidates in Advance!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Ni mara chache sana kuikuta weekend imeangukia mwishoni mwa mwezi kama ilivyokuwa hii.

Kuna matukio mengi ya kusikitisha(Kuzama kwa MV Spice Islander, Ajali mbaya mkoani Mbeya na mengineo), ya kufurahisha pia, Mbwebwe za Uchaguzi Igunga, Mfumuko wa bei na Tatizo kubwa la umeme. Yote tumwachie Muumba.

Kwa mapenzi makubwa nawatakia Form wote(WanaJF na wote) watakaoanza mitihani yao Jumatatu, afya njema, utulivu wa akili, na Kuruhusu brain zao zijae kumbukumbu tele pindi watakapoanza pepaz zao!!




Remember, Memory and time are the Best teacher ever, but suprisingly most students fail.



jg76hf.gif
 
Back
Top Bottom