Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Nahitaji kununua gari toka Japan. Ushauri kwa supplier mzuri (viunganishi kwenye web zao na ofisi zao zitakuwa bora zaid)
Nahitaji gari ndogo ya kutembelea ila sio Vitz, Starlet au za aina hiyo.
Kitu kama Rav4 modern, Toyota Premio 2 na kuendelea, Carina TI na kadhalika.
Tafadhali usinitumie PM, andika tu hapa. PM kuhusu hili haitajibiwa,
Asante!