Best Supplier wa Gar toka Japan

Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
6,167
5,602
Nahitaji kununua gari toka Japan. Ushauri kwa supplier mzuri (viunganishi kwenye web zao na ofisi zao zitakuwa bora zaid)
Nahitaji gari ndogo ya kutembelea ila sio Vitz, Starlet au za aina hiyo.

Kitu kama Rav4 modern, Toyota Premio 2 na kuendelea, Carina TI na kadhalika.
Tafadhali usinitumie PM, andika tu hapa. PM kuhusu hili haitajibiwa,
Asante!
 
Nimejaribu kupitia huko nimekutana na vitu hivi. Naomba wataalam wa kona hizi mnisaidie maana yake nini?
FOB Price-------Total Price
$3,375------$4,847 CIF + Inspect to Dar es Salaam

Je kuna gharama nyingine zaidi ya hapo mfano kodi mbalimbali? Kama zipo nitakokotoaje?
 
Jamani musaada jamani!
 
Back
Top Bottom