Best reality tv show

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
Tofauti na reality TV show nyingi nazofahamu Program ya The Apprentice ya BBC kwangu ni the best.

Zaidi ya burudani kama Reality TV show nyingine Program hii inafundisha

  • kuonyesha behavior za watu mbali mbali waki kwenye kazini.
  • jinsi wasiriki wanavyocope na pressure mbali mbali kama muda na wafanya
  • jinsi mahusiano ya wafanyakazi kikazi yanvyoweza kufanikisha au kudhoofisha utendajikazini
  • Umuhimu wa right communication kwenye kazi na ofisini
  • Viongozi au mameneja wanategemea nini kutoka kwa wafanyakazi
Theme
Washiri kumi na kitu wanataka kupata ajira moja kwa Lord suga ya six figure salaryin term of £. Kila wiki wanapewa task. Yamegawanywa makundi mawili. Mshiriki 1ja wa kundi linalo underperform anaondolewa kila wiki. Siku ya 1ja kufukuzwa waningia kwenye board room kujieleza what went wrong.

Kwa kweli ni kipindi kizuri nashauri kama una muda jaribu kukitazama.

Kwa kutumia program ya Hidemyipadress unaweza kuona hii program hata ukiwa nje ya UK. Unachagua fake IP ya UK na unaona kipindi online popote pale ulipo

tembelea BBC - BBC One Programmes - The Apprentice: Series 6 uone episode 6

Je wewe Reality TV show unayopenda ni ipi?

Nawasilisha
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom