MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Nimesikiliza mistari ya humu ndani nikasema Joyner Lucas ni kiwango kingine kabisaaa.
Alichoimba na jinsi alivyowatumia wahusika na kuwianisha tabia zao ambazo zipo ndicho kimeniacha hoi kabisaaaa!
Kwa ambao hawatapata nafasi ya kuangalia kwa kifupi kazungumzia tatizo la mvutano baina ya watu weusi na weupe huko Marekani. Kwamba kila mtu anavutia upande wake na kutaka kufundisha mwenzake bila kujiangalia yeye!
Wimbo Unaitwa 'Im not racist"... Yani inaonyesha watu weusi na weupe wanapondana sana halafu mwishoni baada ya majungu kila mtu anajitanabaisha kwa kudai kwamba yeye siyo mbaguzi "Im not racist" kwasababu hata yeye ana marafiki kutoka rangi nyeupe au nyeusi.
Mwishoni inaishia mtu mweupe na mzungu wanakumbatiana!
Balaaaa tupuuu........
Bonge la video hili sijapata ona.
CC: Roger Sterling , FisadiKuu , Matola, Al-Watan , Nyani Ngabu, Daby, RRONDO