Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

Labda Tanzania, tutakombolewa na politicians ambao ni opporutnists, kama kina Mwakyembe, na Mama Kilango, maana ni through their political opportunism The Mighty Lowassa, ameondolewa, the untouchables Karamagi, na Msabaha wameachia ngazi,

Mungu Aibariki Tanzania!

Mkuu FMES!

Nakubaliana na wewe kuwa binadamu kuwa 'opportunists' sio tatizo....hata kuwa 'ambitious' nayo vile vile sio kitu kibaya.....TATIZO ni watu wanaokuwa na hizi hulka halafu wanashindwa kuzi'control'....mpaka wanapoteza dira na malengo yao....i.e. Mh. mbunge wa Monduli...na hivi hataingia tena kwenye CC ya chama chake...maana walibadili kanuni kwenye mkutano mkuu uliopita ikawa PM anaingia kwenye CC kwa kutumia cheo chake....kwa hiyo Pinda moja kwa moja yuko kwenye CC na Mh. mbunge wa Monduli moja kwa moja ametoka...na atabaki kuwa mjumbe wa NEC!
 
Mama Anna Kilango, Mheshimiwa mbunge ni mwanasiasa, na wanasiasa wote duniani ni ma-opportunist kwa sababu ni mwanasiasa mjinga tu ndiye anyeweza kusema kuwa ameridhika na ubunge tu, kila mwanasiasa duniani ni lazima awe na lengo la kuwa waziri, waziri mkuu, mpaka rais, mchezo wa siasa unachezwa kwa opportunity ndio maana wagombea wa siasa kama Pinda, aliposhindwa ubunge mara ya kwanza hakukata tamaa, akarudia tena opportunity ilipotokea na leo ni Waziri Mkuu, sasa Pundamilia kama hii ndio opportunism uliyokuwa unaiongelea kwa mbunge huyu wa Same East, I can understand, lakini you were wrong kujaribu kuiweka hiyo kwenye personal life yake,

Sasa hivi uchumi wa US ni mbovu, Republicans wameiona hiyo opporunity na kuamua kutoa rebate checks za taxes ili kujiweka sawa na wananchi kwa ajili ya uchaguzi wa rais ujao, unless tuna matatizo ya kuelewa maana ya neno "Political Opportunism", ninasema kuwa yes Mbunge Mama Anna Kilango, ni political opportubist kwa sababu ameiona an open political opportunity ya kujiweka sawa kisiasa na ameitumia, bila ya uoga na kujiwekea jina kubwa sana kwenye siasa zetu za kupambana na mafisadi, na tunamuombea Mungu ampe moyo huo huo, atakapoona opportunity nyingine ajitokeze tena, maana inaonekana Bongo tutakombolewa na hawa kind ya political opportunists,

Kuhusu jimbo lake la uchaguzi, kabla hajagombea tulisikia haya haya kuwa hawezi kumtoa waziri Yona, in the end akamuondoa tena Yona alishika nafasi ya tatu, wala sio ya pili waziri mzima against huyu mama, Keenja alishindwa naye kule Ubungo, ikabidi kuiba kura, mkuuu mama ataendelea na ubunge kule Same East maana anakubalika sana, tena sana, muulize mbunge wa West aliyejaribu kum-cross kwenye ujenzi wa soko mama alimuendea kwa rais, rais mwenyewe akaenda kule Same zote mbili, na akaamuru soko lijengwe East, na yule waziri wa West akaondolewa kwenye wizara ya mlo, mkuu bara bara haikutegemewa kujengwa huko Same East, lakini juhudi za huyu mbunge, Rais alienda huko tena majuzi na kuhakikisha mwenyewe kuwa mradi unaendelea. Mama ni mbunge shujaaa haogopi kiongozi yoyote, siku ya Zitto kusimamishwa bunge, Lowassa alimtumia Buriani, kumtisha, mama akaamua kwenda kuonana naye uso kwa uso mkuu Edward na kumpa maneno mazito ambayo hata siwezi kuyasema hapa, na alimuahidi kuwa edward kuna siku nitakutwanga, and she did the other day tena mchana kweupeeeee wote wananchi tukiona, that is leadership mkuu, kama ni opporutnism so be it, lakini wananchi wnegi wameridhika naye mkuu, tafuta magazeti ya bongo uone mkuu, mama anapeta,

Labda Tanzania, tutakombolewa na politicians ambao ni opporutnists, kama kina Mwakyembe, na Mama Kilango, maana ni through their political opportunism The Mighty Lowassa, ameondolewa, the untouchables Karamagi, na Msabaha wameachia ngazi,

Mungu Aibariki Tanzania!

Mkuu Field Marshall ES,
Ahsante sana kwa maelezo yako. Je, uko tayari kuniomba msamaha kwa maneno yako 'makali' uliyonielekezea kwangu katika post yako ya kwanza?
 
Kutunga habari wapi zaidi ya hizi unazotunga? Watu wengine mkiitwa kusimamia uongo wenu hapa JF mnapenda sana kuongelea uwezo wangu wa kufikiri, wengine mkiniita mtoto na mengine mengi ili mradi tu msiwe accountable kwa maneno yenu ya uongo na kifisadi mnayoweka hapa.

Mimi sina chochote ninachogain toka kwa mama Kilango binafsi na ukichukulia kuwa yeye ni ccm na mimi ni mpinzania basi ningekuwa na kila sababu ya kutomuunga mkono. Ukweli ni kuwa tunachofanya hapa ni manufaa ya Tanzania kwanza zaidi ya vyama na so far huyu mama ameonyesha kusimamia maslahi ya Tanzania zaidi ya chama chake na mimi nampongeza kwa hilo.

Watetezi wa mafisadi mjinyonge tu kama mna hasira sana ila nakuhakikishia kuwa kashfa za kutunga dhidi ya huyu mama hapa JF hazitafanikiwa.

Mwafrika wa Kike,
To be sincere uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kulinganisha uwezo wako wa kujibu hoja na maswali. I think I won't be fair enough kuendelea kujibizana na wewe wakati hili limeshajiweka wazi. Ondoa mawazo mgando ndani ya ubongo wako (file closed).
Kwaheri Mwafrika wa Kike!!
 
Watetezi wa mafisadi wote husema kuwa nina mawazo madogo na mgando kama wewe na kisha wanaaga kama mchambuzi the quiter maasai morani wa richmonduli!
 
Mkuu Field Marshall ES,
Ahsante sana kwa maelezo yako. Je, uko tayari kuniomba msamaha kwa maneno yako 'makali' uliyonielekezea kwangu katika post yako ya kwanza?

Kuombwa msamaha?

Wewe ndio inabidi umuombe msamaha Mpiganaji Mama Kilango Malecela kwa yote uliyomvumishia hapa damn it!
 
Pundamilia

1. Ninamfahamu vizuri sana huyu mama ni big talk kweli na ni 'opportunist'.
Kwa wanaomfahamu kabla ya kuwa na Charles Nyange hadi JM wanaelewa vizuri.

Pundamilia07

2. NITAJIE JINA LA RAFIKI YAKE ANNA KILANGO AMBAYE ALIKUWA MCHUMBA WAKE CHARLES NYANGE?

Pundamilia07

3. Je, uko tayari kuniomba msamaha kwa maneno yako 'makali' uliyonielekezea kwangu katika post yako ya kwanza?

Mkuu Pundamilia07,

Are you kidding me? or what?
 
Mkuu Pundamilia07,

Are you kidding me? or what?

Mzee Es FM vipi tena ? Unaingia kwenye mtego wa matusi nawe ? Wewe mjibu mkuu kama uko tayari ama hauko tayari.Jamani mnao mwandama huyu binti wa Kike mbona mnamkosea haki ? Anayo haki kwa mujibu wa katiba yetu JF kusema bila kumtukana mtu.Mjini hoja zake badala ya kuleta personals zenu hapa .Huyu binti naona anajitahidi sana kukata issue sasa kaa huridhiki si lazima uchangia mada zake ruka uende tunao ona anafaa tutachangia .Tujifunze hili sisi wote ni Watanzania bila ya kujali vyama vyetu . Lugha za kejelio hazina maana ukizidiwa hoja rudi nyuma kaa jipange njoo tena .Ni kawaida tu .
 
Pundamilia07

To be sincere uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kulinganisha uwezo wako wa kujibu hoja na maswali.

Pundamilia07

2. NITAJIE JINA LA RAFIKI YAKE ANNA KILANGO AMBAYE ALIKUWA MCHUMBA WAKE CHARLES NYANGE?

Mkuu Pundamilia07,

Heshima yako mkuu, hivi kweli unaweza kusema hizo quote mbili hapo juu, zimetolewa na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri mpaka kuwa na authority ya kutukana Senior members ambao ni the real deal hapa JF kama Mwafrika Wa Kike?

Pundamilia are you serious au you are having April Fool on a Valentine's day in February?
 
Mkuu Pundamilia07,

Heshima yako mkuu, hivi kweli unaweza kusema hizo quote mbili hapo juu, zimtolewa na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri mpaka kuwa na authority ya kutukana Senior members ambao ni the real deal hapa JF kama Mwafrika Wa Kike?

Pundamilia are you serious au you are having April Fool on a Valentine's day in February?

ES haya makubwa wacha nikae pembeni nikosomeni sasa. Nineona why you raised the question now .
 
Field Marshall ES,
ulisema unamfahamu mama anna kilango vizuri. basi mlete hapa atueleze kwanini alitukana wananchi na wazee wa kijiji cha jitengeni. mama kilango aeleze kwanini anawanyima elimu vijana wa jitengeni.

siku zote wananchi wa uzambara na jitengeni wameishi kwa upendo na hata wengine wameoleana. huyu mama ameingia kwenye ubunge analeta uhasama kwa vijiji hivyo viwili.

mama atoe maelezo kwanini anapinga maamuzi ya vikao kwa kulazimisha shule ijengwe uzambara alikozaliwa yeye.

kauli ya mama kilango aliyoitoa jitengeni kihurio ni hii:-

"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

umeongopa kwa kumkweza mama kilango kuwa ni yeye aliyewezesha kumuondoa ndhira 'daniel yona'. wazee ndiyo waliomtumia nyepesi nyepesi ndhira kwamba wamemchoka na asigombee. ndhira 'daniel yona' hakusikia na yaliyomkuta sasa ni historia. mama hakuwa na mchango wowote katika hilo.

tafadhali acha kueneza uongo wako kwamba unafahamu siasa za same au upare. kwa kifupi huzifahamu. labda ukafundishwe na cleopa msuya kwasababu yuko karibu na jumanne malechela. hata huyo cleopa msuya same tulishamkataa ndiyo maana ccm wakamkatia kajimbo kake kwa mwanga.

mama anna kilango humfahamu kama unavyodai. alifukuzwa kazi gulf air kwasababu ya wizi wa pesa. ndiyo maana sisi tunashangaa leo hii unapojidai anapinga ufisadi. wanaosema ni opportunist hawajakosea.
 
ooh Lesa Wane.
Sasa bangusule unang'ang'ana na hilo lisentesi siku tatu bila kuleta chanzo? halafu hiyo sentensi kama alisema inahusiana vp na mada hii kuwa sentesi aliyosema ni ya kijasiri, does it nulify that? unalia lia na shul eooh shule, come wit data man. Issue hapa ni huyu mama ameonyesha changamoto kwa wabunge wenzake ambao huwa kama ruber palen bungeni kazi ni kujibu ndiyooo ya pamoja.Au am missing something hapa?
remember three types of minds?

great minds discuss........
moderate minds discuss.........
simple minds discus........"people"
 
Duh!!
JF forum usipokuwa mwangalifu unaweza toka na PhD ya 'FMES the CCM propagandaist - Press panick button when Malecela flagged'.

Mimi nimeona point ya Pundamilia, ni kwamba wewe FMES ulipaniki aliposema neno 'opportunist'. Imekuchukua kurasa sijui tisa ukubali kwamba, yeye, na politicans wote dunia hii ni 'opportunists' (nadhani ndio maana anaomba u-apologise). Ndio maana nikasema unamvua mtu nguo hata allegation haijatoka. Matokeo yake wewe mwenyewe unaona Bangusule kang'ang'ania quote ile ile. Kwa mchele uliomwaga kuhusu Mama Kilango, naona umesaidia wenye matofali kuyashusha.

FMES, naomba kuuliza, hivi ulikuwepo wakati EL anambembeleza JK? Au EL kakwambia, au JK mwenyewe? Au walinzi wa JK? Natumaini maongezi yao yalikuwa private. Nauliza hivi kwasababu mimi naona kuna hint zingine unadondosha kutesti zali. Nauliza tu, maana PhD lazima niipate.
 
Field Marshall ES,
ulisema unamfahamu mama anna kilango vizuri. basi mlete hapa atueleze kwanini alitukana wananchi na wazee wa kijiji cha jitengeni. mama kilango aeleze kwanini anawanyima elimu vijana wa jitengeni
.

Mkuu anawanyimaje elimu wananchi aliowaletea contena zima la vitabu toka UK, kitendo ambacho siku ya kuanzwa usambazaji wake rasmi, kilifunguliwa na Lowassa mwenyewe akiwa Waziri Mkuu, na kuonyehswa na media zote nchini?

siku zote wananchi wa uzambara na jitengeni wameishi kwa upendo na hata wengine wameoleana. huyu mama ameingia kwenye ubunge analeta uhasama kwa vijiji hivyo viwili. mama atoe maelezo kwanini anapinga maamuzi ya vikao kwa kulazimisha shule ijengwe uzambara alikozaliwa yeye.

Mkuu Idd Simba, alikubaliana na serikali wananchi wahamishwe maeneo yanayofurika, sio kitendo kilichokubaliwa na wananchi ndio maana ya kuwa na kiongozi moja ya kazi zake ni kufikiria in advance what is the best kwa wananchi at large, mama hakuzaliwa Uzambara huo ni uongo, familia ya mama inaitwa Kione Kilango, inatokea Kihurio mkuu, mbunge wa West alijaribu kutumia maneno kama yako ya uchonganishi ikabidi rais mwenyewe aje huko Same, na kuamua soko lijengwe East kama mama alivyoshauri, mama anafanya mambo mazito san kwa jimbo, sasa hivi kuna wafadhili wanakuja kutoka Idaho, ambao wanaletwa na kijana mmoja wa ki-Tanzania ambaye ni mwenyekiti wa Obama's Campaign huko, aliye-co ordinate kuja kwao kuleta maji safi na shule zaidi, mkuu acha majungu maana unaona vijana wenzio wa kipare wanavyochacharika na mama kuleta maendeleo huko badala ya matusi hapa JF!

kauli ya mama kilango aliyoitoa jitengeni kihurio ni hii:-
"mimi anna kilango nasema hakuna shule itakayojengwa hapa Jitengeni. sitaki kusikia mtu anazungumzia suala hili tena. anayetaka kuliendeleza akazungumze na mkewe chumbani."

Haya maneno ni yako wewe na yule kiongozi wenu mwenye chama ambacho kipo Same East tu lakini hakipo Tanzania nzima, hakuna mbunge mwenye akili timamu anaweza kusema hayo maneno, na ni maneno mnayozusha kila siku huko kama wakati wa kampeni, mkasema huyu mama amefukuzwa na mme wake ndio haji kwenye kampeni, akaja na kampeni mpaka mwisho yakawashinda, ni kawaida yenu mnaomchukia kuzusha maneno yasiyokuwa na mwisho na huu hapo juu ni uzuzshi na uzandiki!

umeongopa kwa kumkweza mama kilango kuwa ni yeye aliyewezesha kumuondoa ndhira 'daniel yona'. wazee ndiyo waliomtumia nyepesi nyepesi ndhira kwamba wamemchoka na asigombee. ndhira 'daniel yona' hakusikia na yaliyomkuta sasa ni historia. mama hakuwa na mchango wowote katika hilo.

Yona alipooona kuwa mume wa mama ana dalili za kupata urais, alimuomba kwamba hatagombea ubunge tena kule na kumuachia mama, alipooona mzee amekosa urais, akaamua kugombea, ndipo mama akamuambia kuwa "...Yona nitakutoa ubunge afadhali uache...." akaishia kumtoa kweli, maadui zake mkajaribu kumsaidia mama Kaboyoka yakawashinda maana mama ni jembe ulaya, akipita anasomba kila mtu, mama alimshinda Yona hands down, na aliposhindwa Yona akajaribu sana kumsaidia mama Kaboyoka, akaitwa cc na kuonywa kuwa aache ama sivyo atafukuzwa ccm, kwa hiyo mkuu acha uongo hapa huuu uwanja ni mkubwa sana mkuu!

tafadhali acha kueneza uongo wako kwamba unafahamu siasa za same au upare. kwa kifupi huzifahamu. labda ukafundishwe na cleopa msuya kwasababu yuko karibu na jumanne malechela. hata huyo cleopa msuya same tulishamkataa ndiyo maana ccm wakamkatia kajimbo kake kwa mwanga.

Jina lake mkuu ni DR. John Samweli Malecela, vipi ukijifunza adabu na kuheshimu viongozi wako waliolifikisha taifa lako lilipo sasa, pamoja na matatizo yetu yote kitaifa mkuu kuna waliotufikisha hapa tulipo as a nation, kwa hiyo kuwa na heshima kidogo, Msuya ni mungu wenu huko mkuu si ndiye aliyeamua kiongozi wa kumrithi huko, na nyinyi siku zote mlikuwa mnampigia magoti mpaka mtu akigombea naye unbunge mnamfukuza kwenye society akipanda basi wote mnashuka, mkuu nyamaza tu maana ni aibu tupu jinsi Musya alivyokuwa akiwatesa huko, wewe labda niye hujui siasa z huko mkuu ninaweza kukusaidia mkuu!

mama anna kilango humfahamu kama unavyodai. alifukuzwa kazi gulf air kwasababu ya wizi wa pesa. ndiyo maana sisi tunashangaa leo hii unapojidai anapinga ufisadi. wanaosema ni opportunist hawajakosea.

Mama Kilango, hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote, alianza kiwa Mwalimu wa Sekondari Kisutu, Accountant Air-Tanzania, Accountant Gulf Air, Mfanya biashara, Mwenyekiti UWT Kinondoni, Mbunge wa Rais, na sasa Mbunge wa Same East, nirudie tena kuwa hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote kwa wizi, ni uongo mkuu wa mchana, cc huwa hampitishi mgombea yoyote aliyewahi kutuhumiwa na wizi, ni opportunist wa siasa kama walivyo wote wanasiasa, na kiboko wa ufisadi sasa hivi tunajribu kumuomba ahamie kwenye waliojiuzulu kupelekwa mahakamni, mkuu Bangusile acha uzandiki mkuu uweli ni kwamba huna convincing argument against mama, ila una maneno mengi ya chuki na ya kijiweni huko Same, otherwise nipo mkuu kukusaidia kuhusu jimbo la Same East na mbunge wake mkuu, maana hulijui.

Mkuu Nzoka,

Nafikiri haya mael;ezo yamekutosha maana na wewe siioni point yako iko wapi, halafu tumia majina yako tu ya kawaida huna sababu ya kujificha nyuma ya hili jina la Nzoka, hivi umegundua kuwa huwa unatumia majina ya Kaskazini tu,

Ahsante Mkuu!
 
Asante Mkulu FMES,

Unamwaga data na wengine hapa ni majungu tu na chuki binafsi dhidi ya Mama Malecela. Kwa hili ninakuunga mkono hadi mwisho. Mambo ya majungu na uzandiki na chuki binafsi hayana nafasi hapa JF na inabidi waende darhotwire au dailynews kama wanataka.
 
Mkuu anawanyimaje elimu wananchi aliowaletea contena zima la vitabu toka UK, kitendo ambacho siku ya kuanzwa usambazaji wake rasmi, kilifunguliwa na Lowassa mwenyewe akiwa Waziri Mkuu, na kuonyehswa na media zote nchini?

Mkuu Idd Simba, alikubaliana na serikali wananchi wahamishwe maeneo yanayofurika, sio kitendo kilichokubaliwa na wananchi ndio maana ya kuwa na kiongozi moja ya kazi zake ni kufikiria in advance what is the best kwa wananchi at large, mama hakuzaliwa Uzambara huo ni uongo, familia ya mama inaitwa Kione Kilango, inatokea Kihurio mkuu, mbunge wa West alijaribu kutumia maneno kama yako ya uchonganishi ikabidi rais mwenyewe aje huko Same, na kuamua soko lijengwe East kama mama alivyoshauri, mama anafanya mambo mazito san kwa jimbo, sasa hivi kuna wafadhili wanakuja kutoka Idaho, ambao wanaletwa na kijana mmoja wa ki-Tanzania ambaye ni mwenyekiti wa Obama's Campaign huko, aliye-co ordinate kuja kwao kuleta maji safi na shule zaidi, mkuu acha majungu maana unaona vijana wenzio wa kipare wanavyochacharika na mama kuleta maendeleo huko badala ya matusi hapa JF!

Haya maneno ni yako wewe na yule kiongozi wenu mwenye chama ambacho kipo Same East tu lakini hakipo Tanzania nzima, hakuna mbunge mwenye akili timamu anaweza kusema hayo maneno, na ni maneno mnayozusha kila siku huko kama wakati wa kampeni, mkasema huyu mama amefukuzwa na mme wake ndio haji kwenye kampeni, akaja na kampeni mpaka mwisho yakawashinda, ni kawaida yenu mnaomchukia kuzusha maneno yasiyokuwa na mwisho na huu hapo juu ni uzuzshi na uzandiki!

Yona alipooona kuwa mume wa mama ana dalili za kupata urais, alimuomba kwamba hatagombea ubunge tena kule na kumuachia mama, alipooona mzee amekosa urais, akaamua kugombea, ndipo mama akamuambia kuwa "...Yona nitakutoa ubunge afadhali uache...." akaishia kumtoa kweli, maadui zake mkajaribu kumsaidia mama Kaboyoka yakawashinda maana mama ni jembe ulaya, akipita anasomba kila mtu, mama alimshinda Yona hands down, na aliposhindwa Yona akajaribu sana kumsaidia mama Kaboyoka, akaitwa cc na kuonywa kuwa aache ama sivyo atafukuzwa ccm, kwa hiyo mkuu acha uongo hapa huuu uwanja ni mkubwa sana mkuu!

Jina lake mkuu ni DR. John Samweli Malecela, vipi ukijifunza adabu na kuheshimu viongozi wako waliolifikisha taifa lako lilipo sasa, pamoja na matatizo yetu yote kitaifa mkuu kuna waliotufikisha hapa tulipo as a nation, kwa hiyo kuwa na heshima kidogo, Msuya ni mungu wenu huko mkuu si ndiye aliyeamua kiongozi wa kumrithi huko, na nyinyi siku zote mlikuwa mnampigia magoti mpaka mtu akigombea naye unbunge mnamfukuza kwenye society akipanda basi wote mnashuka, mkuu nyamaza tu maana ni aibu tupu jinsi Musya alivyokuwa akiwatesa huko, wewe labda niye hujui siasa z huko mkuu ninaweza kukusaidia mkuu!

Mama Kilango, hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote, alianza kiwa Mwalimu wa Sekondari Kisutu, Accountant Air-Tanzania, Accountant Gulf Air, Mfanya biashara, Mwenyekiti UWT Kinondoni, Mbunge wa Rais, na sasa Mbunge wa Same East, nirudie tena kuwa hajawahi kufukuzwa kazi mahali popote kwa wizi, ni uongo mkuu wa mchana, cc huwa hampitishi mgombea yoyote aliyewahi kutuhumiwa na wizi, ni opportunist wa siasa kama walivyo wote wanasiasa, na kiboko wa ufisadi sasa hivi tunajribu kumuomba ahamie kwenye waliojiuzulu kupelekwa mahakamni, mkuu Bangusile acha uzandiki mkuu uweli ni kwamba huna convincing argument against mama, ila una maneno mengi ya chuki na ya kijiweni huko Same, otherwise nipo mkuu kukusaidia kuhusu jimbo la Same East na mbunge wake mkuu, maana hulijui.
Mkuu Nzoka,

Nafikiri haya mael;ezo yamekutosha maana na wewe siioni point yako iko wapi, halafu tumia majina yako tu ya kawaida huna sababu ya kujificha nyuma ya hili jina la Nzoka, hivi umegundua kuwa huwa unatumia majina ya Kaskazini tu,

Ahsante Mkuu!

Mzee Es taratibu kaka .Mimi huwa naheshimu michango pale tu inapo simamia ukweli .Juu ya makontena ya vitabu toka UK yana skando baya sana .Sitasema sasa ila kuna madai makubwa kuanzia kwa wale shippers nk .Pesa iliyo tumika na aliyepewa vitabu naye akampa huyu Mama .

CC huwa wanapitisha majina kwa nguvu ya hongo mkuu . Unamjua Mbunge wa Musoma mjini ? Hana shule kabisa na aliua mtu tena kifo kibaya na ndugu zake na yeye mwenyewe akiwa front uliza kesi ile ya mauaji liishia wapi na jamaa ni Mbunge leo wa CCM. Unamjua mtu anaitwa Obeto kule Musoma ? kaulize ni nani ndani ya CCM pamoja na diwani wa Makoko utajua kwamba CC si makini kiasi hicho. Nakubaliana nawe kwa neno kwamba Anna Kilango ni shujaa kwa lile la juzi Bungeni .

Unasema mnamuomba asimamie mafisadi kwenda Mahakamani lakii Dr.Slaa has made it clear kabisa anataka Rais aamuru polisi na kei iende Mahakamani .Mimi ni CCM damu kabisa lakini sipendi unazi na nataka kujitoa ili niamini katika Katiba ya Nchi badala ya CCM na hasa baada ya baraza la leo .So Anna Kilango ana tuhuma kibao ila nasema nani ni Mkamilifu ? Nampa heko kwa lile la kusema kwa uwazi Bungeni na sitamnyika haki yake na kule nyuma ambako amekuwa akimuunga mkono Zitto . Kuna mtu anaomba data hapa . Lakini jamaa kasema maongezi ama matamshi yale katoa kijijini kwao huko .Data za wizi nk kama ni kweli zinaweza patikana Gulf Air wapo bwana na watu wako wanafanya kaiz huko.Je tuanze investigative reporting ?
 
Mkuu Nzoka,

Nafikiri haya mael;ezo yamekutosha maana na wewe siioni point yako iko wapi, halafu tumia majina yako tu ya kawaida huna sababu ya kujificha nyuma ya hili jina la Nzoka, hivi umegundua kuwa huwa unatumia majina ya Kaskazini tu,

Ahsante Mkuu!

Mkuu, you have my word. Mimi ni yule yule, nimebadili jina, kama vipi, fanya search utakutana na mimi yule yule mchango wangu ukifuatana. Kuhusu majina, unaweza kumwuliza Invisible atakuhakishia mimi ni Nzokanhyilu na IP moja tu. Siko paranoid siwezi kujificha na siko insecure kuwa na majina kibao, ukitaka jina search, ila nilibadilisha kwa sababu zangu binafsi.
Nina jina la kaskazini kwasababu natoka usukumani ambako nyie CCM mnatukaramagi.
Kama unani-associate na wenye majina ya kaskazini, basi na data zako 'nyeti' zinatia wasiwasi sasa. Ndio maana naamini wewe huwa unadondosha data kutesti zali.

Nafurahi kuona Anna Kilango hajapata uwaziri. Sasa ndo tuone kama moto wake utaendelea. Sihitaji kumpa sifa kwasababu hiyo kazi ndio anatakiwa kufanya. Sihitaji kumpa sifa Kabwe wala Slaa, kwasababu hiyo ndio kazi yao wanatakiwa kufanya. Watapata sifa na hongera wakimaliza kazi na kuingia madarakani. Wakifanya kazi yao vizuri watachukua nchi. Until then, hamna cha kuwasifia ovyo ovyo.
 
Mkuu Mwafrika Wa Kike,

Shukrani kwa msimamo mzito wa kusimamia taifa letu, huwa hatukubaliani kwa mambo mengi, lakini ninashukuru kwamba kwenye hili tuko the same page,

Mkuu Nzoka,

You make good politics ukiongelea mambo ya Clinton na Obama mkuu, maana naona kule uko all over, kuna sehemu hata unaandika na kujijibu mwenyewe,

Mama Kilango, hawezi kupewa uwaziri, katika kipindi ambacho yuko shuleni kule Open University akiongeza elimu ya uchumi, Gulf Air aliifanyia kazi kwa uaminifu, na hata leo ni mmoja wa directors wa bodi yao, cc haijawahi kupitisha a convicted felon, mama kilango amegombea ubunge against Keenja, ambaye alikuwa na the most powerful political machine, ikiongozwa na Londa, Sykes, na Sumaye, sasa kama kuna uchafu wowote alionao ungesemwa, huko Same amegombea na kundi kubwa sana lililokuwa likimpinga, mpaka viongozi wa ndani ccm, lakini haikusaidia kitu, wananchi wa Same wana imani naye wakuu, wamemchagua na watamchagua tena,

Sasa naomba ku-retire kutoka hii topic maana hakuna mpya so far, au elimu kwa wananchi, niwaachie wengine waendelee nao, ila ni muhimu kuwaheshimu viongozi wanaotujali wananchi kama mama kilango.

Ahsante wakuu!
 
Back
Top Bottom