Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,708
- 12,789
nimemaliza igi 1-3 zotetatizo blood pale inaisha haraka alafu kuipata ni shida
nimemaliza igi 1-3 zotetatizo blood pale inaisha haraka alafu kuipata ni shida
uwanja wa ndege pale wananichapa kishenziwapi hapo...mimi nimelimaliza
Ocean of gamesAisee hebu nipine link ya kudonwload hayo magame especialy coll of duty and the like
Watch Dogs 2Kuna kitu kina itwa max payne 2 na 3,resident evil 4 na 5,na american nightmare..Plus gta 5,just clause are best games
Hapo bado sijacheza hata moja aiseeWatch Dogs 2
Witcher 3
Injustice Gods
MK 9
Hizo games ni mouma
Igi3
Ina gb ngap?!PES 2017 wamejitahidi sana aisee...
Wakuu mtutupie na link bac wengine tunapata tabu kudownload.PES 2017 wamejitahidi sana aisee...
GB 9 mkuu... hiyo ni set up.. halaf una"download patch ili majina na jezi zikae sawa...Ina gb ngap?!
ngoja umeme urudi nifungue pc... link nimeweka kwenye email yangu... ni ku"download tu.. sema uwe na torrent..!Wakuu mtutupie na link bac wengine tunapata tabu kudownload.
Poa mkuu uweke link zotengoja umeme urudi nifungue pc... link nimeweka kwenye email yangu... ni ku"download tu.. sema uwe na torrent..!
ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!!Poa mkuu uweke link zote
Pes 17 na patch yakeha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!! ha!!!!
link zipi tena mkuu... kule kuna PES 15 , PES 16 , PES 17 unataka zote kwan..!!!