Unataka vitu vya biashara au matumizi binafsi ?Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from dubai kwa ajili ya vitu vya jumla.maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi
Vya jumla vya biashara Mkuu iwe kama Ali baba.Unataka vitu vya biashara au matumizi binafsi ?
Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from dubai kwa ajili ya vitu vya jumla.maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi
Hahahaaaa!.. mpe basiUlivyotusifia sasa hatuchomoi walai
Unataka kuagiza nn mkuuNdugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from dubai kwa ajili ya vitu vya jumla.maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi
Kuna mtu yupo Dubai naona raia wanalalama analala mbele na psaUlivyotusifia sasa hatuchomoi walai
Lotion perfume...vipodizi ..viatuUnataka kuagiza nn mkuu
Wewe huo muongozo hauna?