Best Newspaper in Bongo?

So to be the best you have to have the eyes of big shots?

Then definitely Daily Ushuzi (a.ka Daily News).

BTW I doubt most of our big shots know how to read.
 
Kama ingekuwa ni Gazeti basi ningesema Jambo Forum. Lakini yaliyopo Uzushi tuuuu.
 
Kwa Tanzania yetu gazeti bora ni SANI lile la miaka ya 80. Haya magazeti ya siku hizi ni usanii mtupu na huandika habari zilizopashwa moto (KIPOLO).
 
Lilikuwaga RAI nguvu ya hoja sasa nasikia limebinafsishwa, na limeloose wapenzi,
 
So to be the best you have to have the eyes of big shots?

Then definitely Daily Ushuzi (a.ka Daily News).

BTW I doubt most of our big shots know how to read.

hah haah haaaaaaaaaaa pundit hii ni kali duuh
 
ukweli ni kuwa hakuna gazeti la maana hapa nchini.
nikichukulia mfano wa hivi vijisenti vya chenge walivyokuwa wanamtangaza fisadi huyu walisema "kuna kigogo anamiliki mabilioni huko UK" na baada ya magazeti ya UK kumtaja kuwa ni chenge eti nao ndo wakajishaua kumtaja.
so mpaka hapo utagundua kuwa kuna kundi la waandishi either waoga au ni vibaraka wa viongozi.

mara kadhaa tumeona magazeti yakiandika neno "kigogo fulani" na wanashindwa kutaja jina haswa la muhusika ile hali wanakuwa na ushahidi wa kutosha wa tukio husika.
so narudia tena tanzania hakuna gazeti hata lenye afadhali, yoote ni potelea mbali
 
Which newspaper do you think is the best, which you think many big shots in DAR read it ?
;)

unamaanisha magazeti yote kwa ujumla, best news paper kwa vigezo vipi?maana magazeti mengi siku, yanaandika habari za aina tofauti.
 
Back
Top Bottom