BEST LITERATURE AND ENGLISH TEACHER.

Tefl nadhani Google utapata more details. Ila changamoto Asia wanachagua whites people than weusi. Pia most kutoka English speaking countries. Ila ukiipata Kazi nzuri Sana.
Ooh utakuwa unamaanisha TOEFL. Naujua huo mtihani. Thanks ntajitahidi kwa hilo.
 
Tefl nadhani Google utapata more details. Ila changamoto Asia wanachagua whites people than weusi. Pia most kutoka English speaking countries. Ila ukiipata Kazi nzuri Sana.
Ewaaa! TEFL(Teach English as Foreign Language). Ni rahisi ukipitia referees/agent ambaye tayari ana credibility hivyo inakuq rahisi. Whites sababu ni lugha yao, ila ni expensive kiaina kuwalipa tofauti na blacks. Ukifuzu tu ile mitihani plus na wakala aliyekwisha pita huko basi unapata.
Kuna mdada sema nimepoteza contact ningempa muanzisha uzi, ameshafanya sana huko kuna wakati alikua anawasaidia wabongo wenzie.
 
Okay sawa, nitaufwatilia huo mtihani na nipate details zote. Ada yake si tatizo nafikiri haizidi laki tatu na kitu hivyo nitajitahidi. Ahsante sana kwa kunipa wazo chanya sana hili.
 
Mkuu hao wakala unawapata wapi maana mie nataka nisome sema nilivyo ona hivyo nikapotezea. Unaweza kudadavua kidogo.
Ewaaa! TEFL(Teach English as Foreign Language). Ni rahisi ukipitia referees/agent ambaye tayari ana credibility hivyo inakuq rahisi. Whites sababu ni lugha yao, ila ni expensive kiaina kuwalipa tofauti na blacks. Ukifuzu tu ile mitihani plus na wakala aliyekwisha pita huko basi unapata.
Kuna mdada sema nimepoteza contact ningempa muanzisha uzi, ameshafanya sana huko kuna wakati alikua anawasaidia wabongo wenzie.
 
Mkuu hao wakala unawapata wapi maana mie nataka nisome sema nilivyo ona hivyo nikapotezea. Unaweza kudadavua kidogo.
Kuna wa online hawa ni gharama kiaina. Ila kwa hapa tz kuna mdada nilikua na namba yake ila kwa sasa sina. Kuna mdau nimejaribu kumuomba kama atakua nayo na kunipatia, nitakupasia 'upendo'.
 
Itakuwa fresh. Yap Mara nyingi hizi koz Ni ghali ila kuna chimbo nimepata wanatoa Bei nafuu Sana na cheti unapewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom