Mafanikio yap uloyapata?
hebu tupe level unayofundisha kwanza......na qualification zako if u dnt mind mkuuu....
acha utani wewe F=144???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111
Jamaa uwenda unaweza,uko wapi kwa sasa.
nipo Iringa mkuu. Sijisifu ila uwezo ninao pia ninaweza kuwashawish wanafunzi kupenda sayansi especially B. Mathematics.
mbona huend chuon sasa?
Aende chuo?
Kafeli huyo na isitoshe 4m six alipata D ya mats ila o'level alifauru mats ndo maana kakomaa nazo.
Wazee inawezekana ni graduate tayari maana siku hizi shule za kata kuna graduates wengi msimkatishe tamaa wajasiriamali wazuri wengi walianzia mbali msishangae baadae huyu kumiliki shule mzee komaa utapata wateja tu ila kwa ushauri kama utapata nafasi kwenye miji mikubwa kama Dar it is better kuliko hapo Iringa pako finyu mno kwenye kupata wateja ebu fanya mpango uwe Dar then uanze kuchakalika