Best in b.maths

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
Natafuta kazi ya kufunisha somo la Hisabati (B. Maths). Nipo vzr na nimepata mafnikio makubwa ktk kufundisha kwangu miaka 2 ktk shule hii. Nahtaji kuwasaidia vijana wenzangu ktk somo hili. Nawasilisha maombi.
 
acha utani wewe F=144???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111
 
angalia somo lenyewe mkuu halafu shule ya ukata. Position 16/200 kimkoa na 310/3362 kitaifa
 
Wazee inawezekana ni graduate tayari maana siku hizi shule za kata kuna graduates wengi msimkatishe tamaa wajasiriamali wazuri wengi walianzia mbali msishangae baadae huyu kumiliki shule mzee komaa utapata wateja tu ila kwa ushauri kama utapata nafasi kwenye miji mikubwa kama Dar it is better kuliko hapo Iringa pako finyu mno kwenye kupata wateja ebu fanya mpango uwe Dar then uanze kuchakalika
 
thanks. I'll work on it.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom